Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

KWA TIMU IPI APA YA KUIFUNGA YANGA..!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namuona kabisa mzeee wa kuwakela ...wakili msomi lazima atupie leo sijui kwa nn naamini hili
 
Hapa Lupaso nawaona wazungu pori wamevaa jezi za Uto ila wazungu og nawaona wamevaa jezi za Simba.
 
Kuelekea mtanange huu wa watani wa jadi kuna mwana hapa pembeni yuko bwax kalewa muda wowote kuanzia sasa atakata moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…