Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Wanasimba hatuwezi changa fedha tuzamini ligi kuu.Watatuua kwa pressure jamani
IMG-20211211-WA0045.jpg
 
KWA TIMU IPI APA YA KUIFUNGA YANGA..!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namuona kabisa mzeee wa kuwakela ...wakili msomi lazima atupie leo sijui kwa nn naamini hili
 
Hapa Lupaso nawaona wazungu pori wamevaa jezi za Uto ila wazungu og nawaona wamevaa jezi za Simba.
 
Kuelekea mtanange huu wa watani wa jadi kuna mwana hapa pembeni yuko bwax kalewa muda wowote kuanzia sasa atakata moto.
 
Back
Top Bottom