Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Credit kwa Kocha Pablo kwakuja na game plan nzuri na kuweza kuwazuia Yanga kipindi cha kwanza wasipate goli, tuone kipindi cha pili watakujaje
 
Tunapomsifia onyango na inonga (center backs) karibu dakika 45 za mchezo ni kiashiria kuwa utopolo wametubana.
Nisahihisheni maana niko mbali na tv chogo yangu
 
Tutafute namna bora ya kuwa enzi kina onyango na enonga, mwenye wazo la sanamu anicheki mi nitachangia cement

Sijajua wanafanya shughuli gani za kiume humo ndani ila mimi nitatoa maji na chakula cha mafundi...
 
eeeeeh eeeh aisee ilikua hatari hapo manula alitoka golini, bila onyango hapo ingekua shida
Dooh nilisha hesabu goli lile ila Onyango aliko tokea kama mzimu hatari sana ile.
 
Dooh nilisha hesabu goli lile ila Onyango aliko tokea kama mzimu hatari sana ile.
Ndio hapo nasisi mashabiki tunatakiwa moments kama hizi tuwe tunazikumbuka pale ambapo siku hiyo mchezaji anacheza chini ya kiwango
 
Back
Top Bottom