Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Makolo ni watu wa ajabu sana! Ina maana ni jambo jipya kwenu kusikia timu ikitamba kwamba itashinda, au?! Au ni kweli nanyi mlikuwa mnaipa nafasi kubwa Yanga kwa sababu bado mnakumbuka 1-0 ya Ngao ya Jamii huku timu yenu ikionesha wazi bado tia maji tia maji?

Ukweli mchungu ni kwamba, kauli zenu zilizotawala hapa baada ya mechi ni kauli za ki-underdog ambazo hata Yanga tumezitumia sana wakati tulipokuwa tunaingia uwanjani na kuwapa nafasi kubwa Makolo kushinda lakini mwisho wa siku, mechi inaisha sare na hapo kauli zetu zikaw hizo hizo "...si mlikuwa mnasema mtashinda, tena kwa goli nyingi"! Enzi zile mngetoka mmenuna lakini leo "...mbona mmeshindwa! Mliaminishwa ujinga" na bla bla nyingin za ki-underdogo kibao!
Leo mmechemshaa mlale unono.
 
Giant hahahahahaha giant unatolewa kamasi na timu ya mwisho (geita )giant unashangilia draw Ili Hali kitakwimu umezidiwa kila kitu kasoro faulo na kupiga mpira nje ya lango

Una u giant gani?
Nyinyi mnatambulika kama underdog wa Afrika, hilo halina ubishi kabisa.

Team kuwa Giant haina maana kuwa haitakiwi kusubuliwa na viteam vidogovidogo vya mchangani, hâta Al ahly, Esperence na Wydad, wameshatoa Sare za kutosha tu kwenye ligi zao.
 
Kwamba ukiwa mwenyeji Hadi refa unantafuta wewe wewe kisa mwenyeji

Kwamba hata mgeni rasmi (kama yupo unatafuta wewe)

Kwamba hata vip ujapanga wewe si ndio
Hapo kwenye mgeni rasmi wewe unaelewaje? Uto bwana, yani huwa mnapenda kubisha ili mradi muonekane tu hamshindwi kitu😅.
 
Unaongelea kilicho fanyika uwanjani au maneno ya watu?
Kotekote
Okay ngoja turudi kwenye maneno kama unavyotaka, "Zile kelele kuhusu Mayele, Aucho, Bangala na morroco bado mnazo?"
Ni jipya hilo kwako?! Kwani si maneno sawa na hayo mlikuwa mnayatumia wakati wa akina Konde boy na Chama hadi mkaanzisha "Chamason, Morrison, Meksison" na tambo kedekede kama hizo kwa sababu ni kweli wakati huo Yanga tulikuwa tunaingia uwanjani kama underdog na tukawa tunatishika na hizo "son" na ilipotokea kupata sare, tukawa tunaongea hayo hayo "yuko wapi huyo chama na Konde"

Maisha yanaenda kasi sana!!
 
Nyinyi mnatambulika kama underdog wa Africa, hilo halina ubishi kabisa.

Team kuwa Giant haina maana kuwa haitakiwi kusubuliwa na viteam vidogovidogo vya mchangani, hâta Al ahly, Esperence na Wydad, wameshatoa Sare za kutosha tu kwenye ligi zao.
Unakuwa giant vipi ikiwa kwA ligi yako unaonekana nyau tu

Ukiachana na kuwa na viporo 10+ Hadi kubeba ubingwa huna cha maana hata huo ugiant huna na hautakuja kuwa.

Kwamba na ww una amini uko namba 6 kwA ubora afrika ndo maana wajiona giant hahahah
 
Kotekote

Ni jipya hilo kwako?! Kwani si maneno sawa na hayo mlikuwa mnayatumia wakati wa akina Konde boy na Chama hadi mkaanzisha "Chamason, Morrison, Meksison" na tambo kedekede kama hizo kwa sababu ni kweli wakati huo Yanga tulikuwa tunaingia uwanjani kama underdog na tukawa tunatishika na hizo "son" na ilipotokea kupata sare, tukawa tunaongea hayo hayo "yuko wapi huyo chama na Konde"

Maisha yanaenda kasi sana!!
Ukiachana na muda uliopoteza kuandika madudu yasiyoeleweka, kikubwa unatakiwa kujua kuwa huo wakina AUCHO , BANGALA , MORROCO & MAYELE watatamba kwenye mid-table teams na sio kama mlivyotaka kuwakuza.
 
Unakuwa giant vipi ikiwa kwA ligi yako unaonekana nyau tu

Ukiachana na kuwa na viporo 10+ Hadi kubeba ubingwa huna cha maana hata huo ugiant huna na hautakuja kuwa.

Kwamba na ww una amini uko namba 6 kwA ubora afrika ndo maana wajiona giant hahahah
Kwahiyo kwakua Ahly alikuwa na viporo msimu uliopita, basi tuseme sio giant?

Team kuwa giant I haitakiwi kusubuliwa na team za domestic league? Maana kama issue ni draw hâta hizo team unazoziona ni Giants zinapata pia kwenye league zao, Sasa sijui unataka kusema nini😅.

Wachezaji unaotamba nao wote ni reject wa team ambayo Simba Sc imejipigia misimu yote waliyokutana, unapata wapi nguvu za kutamba humu?
 
Wapi ukaona al ahly Ana viporo 10+

Reject hao hao wanakufanya ushangilie kwa kutoa sare
 
Leo umemwita mayele nyau

Daah kweli kacheza kiwango ambacho kila mtu kafika level ya mwisho ya uvumilivu
@Scars Weka ushabiki pembeni fuatilia kwenye social media kimya kimya fb, twitter, instagram, whatsapp, JF na kwingineko uone ni akina nani wamechangamka baada ya mechi. Unajua mtu kushangilia kwake unaweza kunote kwa jinsi unavyomuona kwenye maandishi yake.
 
Najua point yako ni kwamba mashabiki waliochangamka leo basi wameridhika na sare

Hapana sio kweli kwasababu hizi

Mashabiki wamefurahi kutokana na mpira mzuri ambao umechezwa na timu yao uwanjani karibia katika sector zote leo wamecheza kwa kiwango kizuri

Fatilia mechi za mwisho ambazo simba imecheza angalia perfomance yake na udhaifu wa mabeki ambao ulikua unaiweka timu kwenye risk

Na ndio maana kilivyotoka kikosi cha kwanza karibia 70% ya mashabiki wa simba hawakupendezewa na kitendo vha kocha kumuanzisha kanoute, hiyo ni kutokana na mechi za nyuma ambavyo alikua anaonekana akicheza chini ya kiwango

Pili watu wamefurahi kuona wamekata ngebe za yule mchezaji ambaye alikua anategemewa kufunga kwenye mechi ya leo kwasababu alitufunga kwenye ngao ya jamii

Kwa hiyo sio kweli kwamba mashabiki wameridhika na matokeo na ndio maana utaona wanamlalamikia refa ambaye aliegemea upande wa yanga
 
Mkuu SIMBA imecheza VIZURI?? Ndio maana mnaonekana mnashangilia Sare.. SIMBA ILIZIDIWA KILA IDARA, WEWE HUJUI MPIRA NI SHABIKI MAANDAZI.
 
Kwani mkuu ni uongo tuko kimataifa. Au Wewe hujui.

Halafu sisi tuna watu saizi yetu km Al Ahly, Zamalek, nk watu wanaocheza mpira unaoeleweka. Hawa Wana mbinu so tunajua tutadili nao vipi. Sasa nyie mazuzu mnapiga uende mbele. Mnapiga chenga nyiiiingi halafu zote mnajipiga wenyewe. Ili muambiwe mnaupiga mwingi.
Yani Nyie Muwe Saizi Ya Al Ahly Au Zamakek Hv Huoni Aibu??, Haya Kwa Mpira Upi?? Au Kwa Pesa Zipi?? [emoji849]
 
Back
Top Bottom