Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Eeh eti mngetengeneza nafasi, nafasi zinatengenezwa na mafundi sa we wachezaji wa kutengeneza hizo nafasi unao!?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Kazi imeisha Sasa zamu ya kimataifa vipi Ushajiandaa kwenda kupokea wageni!πŸ˜‚
 
Mchezaji wa mbeya kwanza aliugusa kwanza mpira Δ·abla ya kagere. Clear goal.Mnaobisha bora mshabikie rede.
kampenja kamekazania offside offside, sijui kina chuki binafsi au niaje

Kunywa sana take away hakukufanya uwe bakhresa, mpenja Kutangaza mpira hakukufanyi uujue mpira

Ni jana tu hapo katuletea habari za uchama kwenye soka, sasa anataka kutuambia nini ili kufanya kile anachokikngea tusimpuuze?
 
We Simba gani husifii hata zuri moja la timu yako?! wacha usanii utopolo..
Nimewaachia nyie msifie, mie ninachotaka ni timu yangu ya Simba ioneshe kandanda Safi na haya mambo yakubebwa bebwa yaishe.
 
Sidanganyiki, wewe ni Simba nusu Yanga nusu, ila unaipenda zaidi Yanga ndio inakufaa, Simba unazuga kuipenda ila unaichukia kimoyomoyo
Hawa ndio mamluki wenyewe Hawa kama manara tu
 
Eeh eti mngetengeneza nafasi, nafasi zinatengenezwa na mafundi sa we wachezaji wa kutengeneza hizo nafasi unao!?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Kazi imeisha Sasa zamu ya kimataifa vipi Ushajiandaa kwenda kupokea wageni!πŸ˜‚
πŸ˜€ Sasa we mwenye watengeneza nafasi magoli yako wapi? . πŸ˜€

Hahahaaaa. Lol.
 
Kuna mtaalam nadhani anaye pembeni. Goli ni halali kabisa kwakuwa kuna mtu wa Mbeya Kwanza aliugusa.
Hawajui boli hawa, halafu wamalila wao na mipunga habari za mpira wapi na wapi mzee?

Ni njaa tu jamaa kaamua kujishkiza ili mradi apate chochote kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…