Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Kweli kakaaa
Sema tuu ukongwe wa pale Msimbazi ndo unampa heshima
Boko ninae mjua si wakuacha ile Pass kakaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
ni kama mpira ambao hakuutegemea,wachezaji wa Simba wasicheze kwa hasira na presha ,wakirelax hata ushauri ni rahisi kufuata ,Sasa wanakuwa na presha ya kushinda tatizo kila mtu anataka aonekane hero
 
ni kama mpira ambao hakuutegemea,wachezaji wa Simba wasicheze kwa hasira na presha ,wakirelax hata ushauri ni rahisi kufuata ,Sasa wanakuwa na presha ya kushinda tatizo kila mtu anataka aonekane hero
Kweli kabisa wachezaji wetu wa pale Msimbazi wanacheza kutokana na vipaji vyao pamoja na Media.

Na ndomaana tuna tafuta kocha Officially.
Naamini bado tunayo nafasi ndugu.
We skizia tuu wale vyura watafarakana tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa namna Simba inavyocheza ni Bora Mechi zao zichezwe saa 8 mchana pale uwanja wa zamani wa taifa. Nimatumizi mabaya ya nyasi za uwanja na umeme wakati Kiwango Chao ni Cha hovyo. Simba ya Sasa inaitaji refa aji dhalilishe ili Simba ipate matokeo.

Shabiki mwenzio wa Namungo anatamani aingie uwanjani, wewe upo kwenye keyboard

We madafanta, get life! Usifosi tuwe ktl group thinking...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…