Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

uzuri tu ukuta mzuri wa ulinzi
 
Kwa mbinde sana. Simba mjitafakari aisee.
Kama ushindi ni wa magumashi namna hii si ajabu mechi ijayo mkaambulia kipigo.
Mechi ijayo kutakuwa na Kocha Mkuu tayari.

Kwa hiyo Wapinzani mjiandae kisaikolojia.
 
Kwa namna Simba inavyocheza ni Bora Mechi zao zichezwe saa 8 mchana pale uwanja wa zamani wa taifa. Nimatumizi mabaya ya nyasi za uwanja na umeme wakati Kiwango Chao ni Cha hovyo. Simba ya Sasa inaitaji refa aji dhalilishe ili Simba ipate matokeo.
Simba hii haingii makundi CAF conf. Cup. Redio arrows atamfunga simba nje ndani
 
Kama Ile Penalt ya Jana...Yanga Bingwa Mwaka huu[emoji3516][emoji851][emoji1666][emoji41]
Kabisa mkuu yanga bingwa hilo halina ubishi hapo chini sasa simba na wengine mpambane kuipata nafasi ya 2 maana wote mna viwango vinavyokaribiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…