Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba1-3 Rc berkane
Yenu ndio hayo mlishindwa nyie sio Simba hata hamu ya kuiga tu hamuoni au kushangaa mlipigwa nje ndani mechi moja tu simba anawakilisha nchi iweje aongoze kundi nyie tangu timu yenu ianze imewahi kuongoza kundi?
 
Nikiwa kama shabiki nguli wa Young Africans SC naitakia RS Berkane kipigo kitakatifu kutoka kwa mnyama mkali Simba SC.
Lini mliwahi itakia Simba ushindi miaka minne sasa? Timu yenu lini iliongoza tu kundi achia kufika robo final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…