Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Prison wana mpira flani wa kishamba matumizi ya nguvu bila akili, una hatarisha maisha ya mchezaji mwenzako.
Kuna matukio mawili wenzetu duniani wanafunika tuta
1. Kumzuia Kapombe lile ni tuta
2. Kumsukuma Luis lile ni tuta pia.
Kuna faulo moja alifanyiwa Kapombe alibanwa mkono mpaka anaanguka, lile wenzetu ni tuta pia.
Sasa team inayotengeneza zaidi ya penalt 5 mchezo mmoja, huo ni mpira wa kishamba, haupo duniani pote.
 
Binafsi nilichojifunza kwenye mechi ya Simba vs Prisons ni kwamba, katika ligi ya bongo, kuna timu tatu za JKT Tanzania, Polisi Tanzania na Prisons zinazotumia nguvu nyingi bila akili. Ova
Kama timu inaweza dk 50 wakiwa pungufu afu hawafungwi, hiyo ni timu nzuri, walioshindwa kufunga ndio wahojiwe utimamu wao.
 
Una ujuzi wa urefa?
Kama vipi kaombe kibarua uwe unafunika tu matuta
 
simba inapata matokeo ndio maana watu hawaoni upumbavu wa mugalu ila huyu si mchezaji, hafai kuchezea simba
Kama huwa unaangalia mpira kusubiri magoli, huwezi mpenda Mugallu.
Ila ndo striker mwenye footwork nzuri bongo hii.
 
What is Footwork. Anasajiriwa mshambuliaji kwaajiri ya Footwork au kufunga magoli ?
Namwona Mugalu kama ni mviziaji tu sioni kingine.
Ni mzito kama Yikpe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…