Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

za kuambiwa changanya na zako, manara hanaga jema yupo kimaslahi tu hapo utopoloni.
Hata mimi naelewa msukule yupo kimsalahi ila hili gari lenu bado lipo gereji, linashindia uzoefu tu na sio ubora
 
Ni juzi tu wanasimba walimsifu sana huyu chibuku😂
 
Unaangalia mpira lakini ??
Nipo live toka dakik ya kwanza, japo kidogo leo Simba wamebadilika tofauti na michezo ile mingine ila hauwezi kulinganisha kabumbu wanalotandaza na ambalo tumezoea kuliona kwa wana utopolo
 
Hii mechi angekuwepo Lyanga, Nado, Dube, Tigere, Bruce Kangwa sijui Ingekuwa vip? Azam mbele Inabidi wabadilike ndio wapate matokeo maana wamezidiwa hasa kipindi Cha Kwanza.
 
Naona kila sababu Mikia kupata tuta ili avune points 3
 
Kama wauona huu mwingi nakwambia utakuwa ujawah ona mpira wa yanga utasema wanapiga wote maana huu wa simba ni mdg mno
Ule wa Jana na Dodoma jiji fc? Timu ambayo hata kitayose ya ligi daraja la pili wanajipigia wakitaka[emoji28]

Full time ball possession
yanga 82 Dodoma jiji fc 18[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…