mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
We Lofa mbona makasiriko mengi??Hakuna gemu hapo ni kabumbu gemu tz anacheza ni yanga tu timu zilizo baki zinacheza kabumbu hakuna gemu
Mtu mpira unamgonga goti unajaa wavuni unasemwa et what a goal sasa unajiuliza goli la tiktaka ama la ku chop kama la moloko litaitwaje
Dodoma jiji mbali, wewe Hadi leo unashangilia kutoa draw na mimiIla Dodoma Jiji iliyofanya muiite Yanga Manchester City ndiyo timu ya maana sio? [emoji23]
Hahahaha umemwangukia mlevi mwenzio wote nyie nimewapigia mpira wa kufa mtuWe Lofa mbona makasiriko mengi??
Hakuna timu hapo, umecheza na Azam ambayo nado mgonjwa, tigere, dube wako nje
Bado imekutoa jasho, watu wanakwambia sakho what a goal katazame goli lenyewe anafungia goti hahahahahaha
kuhusu kutokwepo kwao mtajuana wewe na Azam sisi halituhusuAzamu gonjwa Iyo haina dube, haina nado, haina never tigere Bado unajisifu tu
Mtu mpira unamgonga goti unajaa wavuni
Goli la pili, when the assist is more beautiful than the goal
Kibu ameni surprise leo, sikujua kama anaweza kupiga pasi kama zile
Ongea utakavyo point 3 tumepata ni hivyo tu.Dodoma jiji mbali, wewe Hadi leo unashangilia kutoa draw na mimi
Huyo dodoma jiji kibonde mwenzako alikutoa jasho ukaambulia 1 umesahau
Ahadi kwa dodoma jiji dhidi ya ssc.Dodoma jiji mbali, wewe Hadi leo unashangilia kutoa draw na mimi
Huyo dodoma jiji kibonde mwenzako alikutoa jasho ukaambulia 1 umesahau
Hasira itoke wapi wewe na Azam wote wateja wangu najichukulia pointi 2Kunywa maji ya baridiii upoze koo usije pasuka mishipa ya shingo kwa hasira
Ndo nakupa taarifa umenifunga Azam mgonjwa ko kuwa mpolekuhusu kutokwepo kwao mtajuana wewe na Azam sisi halituhusu
Nashukuru kwa kuthibitisha mpira ulivyo mgonga goti alafu watu wanasema what a goal hahahahahahaView attachment 2065450
Wewe sio mtu wa mpira ila ni hater asiyetumia hata akili. Unaweza kubaki hater ila tumia akili basi bro
Utazitema tu ukikutana na yangaOngea utakavyo point 3 tumepata ni hivyo tu.