Shida umeanza kushangilia juzi mpira kmc alipewa m20 na makonda (unajua alikuwa shabiki wa timu gani) waliofungwa yanga unajua ilikuwaje kaulizeAhadi kwa dodoma jiji dhidi ya ssc.
1. Ushindi 15 ml
2. Droo 10 ml
3. Kumvunja mchezaji wa simba 5 ml.
Tusiongee mengi mtani, Mungu atujaalie uzima tutaongea wakati ukifikaUtazitema tu ukikutana na yanga
Hivi Morrison yupo wapi, mbona haonekani.
Tukiacha ushabiki leo simba wamecheza vizuri sana hasa sakho alikua kwenye kiwango bora sana sana... Anyway bado naamini Yanga ni kisanga.....Itoshe tu kusema, Simba imeimarika.
Hongera kwa kuliona hilo, yanga ni kisanga dhidi ya Dodoma Jiji, mbeya kwanza etc.Tukiacha ushabiki leo simba wamecheza vizuri sana hasa sakho alikua kwenye kiwango bora sana sana... Anyway bado naamini Yanga ni kisanga.....
Inajaribu bisha ukweli, kwani mechi yangu na ww nani alicheza sokaHongera kwa kuliona hilo, yanga ni kisanga dhidi ya Dodoma Jiji, mbeya kwanza etc.
Hahahhahaha mi naona safari ya ubingwa ipo wazi zaidi kwa Yanga kuliko kwenu kumbuka bado mna mechi za kimataifa na kuna swala la majeruhi ohooo!! Na usisahau misimu miwili yote iliyopita hamjatufunga kwenye ligi.. Na hao kina Dodoma jiji na mbeya kwanza ndo walikua wanatutesa sasa kama tunawamudu it means ubingwa uleeeeee...Hongera kwa kuliona hilo, yanga ni kisanga dhidi ya Dodoma Jiji, mbeya kwanza etc.
soka la kucheza kwako na kupoteza muda baada ya kuzidiwa eneo la kati ??Inajaribu bisha ukweli, kwani mechi yangu na ww nani alicheza soka
Hahahaha yanga apoteze muda hahahahaha walah umeamua kujifurahisha si wewe Hadi leo unashangilia draw amasoka la kucheza kwako na kupoteza muda baada ya kuzidiwa eneo la kati ??
Hilo linawezekana pia, tusubiri muda uongeeHahahhahaha mi naona safari ya ubingwa ipo wazi zaidi kwa Yanga kuliko kwenu kumbuka bado mna mechi za kimataifa na kuna swala la majeruhi ohooo!! Na usisahau misimu miwili yote iliyopita hamjatufunga kwenye ligi.. Na hao kina Dodoma jiji na mbeya kwanza ndo walikua wanatutesa sasa kama tunawamudu it means ubingwa uleeeeee...
Mbona kama una lazimisha kunilisha maneno, anaye shangilia sare ni nani ?, yani nishangilie sare dhidi ya timu ya mchangani ?Hahahaha yanga apoteze muda hahahahaha walah umeamua kujifurahisha si wewe Hadi leo unashangilia draw ama
Nawe ni shabiki wa mpira au wa yale mambo yenu ya akina Kabwili?Hakuna timu hapo, umecheza na Azam ambayo nado mgonjwa, tigere, dube wako nje
Bado imekutoa jasho, watu wanakwambia sakho what a goal katazame goli lenyewe anafungia goti hahahahahaha
Si tulikubaliana kombe linaenda kwa kina yanga kule?Na mwaka huu pia utahama hama timu hivyo hivyo mpaka tunachukua ubingwa
Yeah lile la mapinduzi ni lenu hakuna wakuwazuiaSi tulikubaliana kombe linaenda kwa kina yanga kule?
tunajua wazi azam ni tawi la simba hivyo haikuwa na haja hata ya kufuatilia mechi yenyewe tulijua waziYeah lile la mapinduzi ni lenu hakuna wakuwazuia