Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Kweli umetabiri ................
 
Tunapendekeza kwa kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kuwa inabidi wawe "fair" katika kupambanisha timu kwenye ligi inayoendelea nchini. TFF iombe ruhusa FIFA kuwa kwa mpira wa Tanzania, baadhi ya timu zina uwezo mkubwa sana wa kusakata kabumbu kuliko zingine. Hivyo kuziingiza uwanjani zikiwa na idadi sawa ya wachezaji ni UONEVU mkubwa. Timu ya SIMBA ikipambana na YANGA iombewe ruhusa rasmi ya kuwa na wachezaji kumi (10) badala ya kumi na moja (11) ili kuwatendea haki YANGA. YANGA haina uwezo kupambana na Simba ikiwa timu zitakuwa na idadi sawa ya wachezaji.
 
Kocha wa Ngaya sijui kibarua chake kipo position gani
 
Kwanza poleni kwa kupoteza mchezo wa leo.

Tahadhari
Mkiona mchezaji wa Simba amepewa red card gomeni au kataeni, maana huyo refa atakuwa amehongwa na wanachama wa Simba tu.

Tetesi: nimepata habari kuwa "wanachama wa Simba kesho wanapeleka TFF maombi yao ya kutaka kucheza pungufu(yaani kuchezesha wachezaji 10) uwanjani kwa kila mechi ,watazokuwa wanacheza kuanzia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…