Game kama hizi Manula angekuwa anakuja tu uwanjani na themos ya chai na gazetiSidhani kama Manula amedaka hata mipira 5 mpaka sasa.
Tunakarabati badala ya kulipa madeniNaam nakupata kwa uzuri kabisa bwana Ghazwat nikiwa katika chumba kilichokarabatiwa leo kwa gharama za Tsh. 6M hapa kwenye jengo la Yanga, Jangwani
Safari hii watajuta kwanini hawakumchukua mapema maana dau litaongezekaNamuona akienda majuu moja kwa moja,
Mwaka jana kuna klabu ya ligi kuu uholanzi ilimtaka dau likawa kidogo sana
Hii kweli inatuumiza sanaaa, binafs kwa uchezaji wetu nimeshajitoa kabisa kwenye ndoto za kuwa bingwa. Kama itatokea bc itakuwa surprise tu😁Utopolo wanaumia sana Simba inashinda kiulaini sana halafu wenyewe mpaka walilie penati ndio wanapata ushindi.
Leo alikuwa adake yule golikipa namba tatu. Kumchezesha Manula game hii ni kumdhalilisha...Sidhani kama Manula amedaka hata mipira 5 mpaka sasa.
Hii Nyoni, Lwanga combination ikienda utopolo, hata ile gongowazi inaitwa Sarpong ingekuwa inatoa asssist kwa Ditram Nchimbi...Nyoni na Lwanga wametengeneza combination nzuri sana pale kati
Tunatakiwa kushinda mechi zote zilizobaki Mkuu acha wacheze akina ManulaLeo alikuwa adake yule golikipa namba tatu. Kumchezesha Manula game hii ni kumdhalilisha...
Yani mechi hii hata angepangwa yule boya wa kidimbwini anaitwa Metacha Mnata, angetoka na clean sheet...