Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

45+1

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa

JKT Tanzania wanapata Kona.. Inapigwaaaa, lakini Mugalu anaokoa

Wakati huo huo ameapata rabsha yupo chini akipatiwa matibabu

Haya mpira unaendelea, inapigwa mbele kuleee, wanachukua Simba

Naaaam mpira ni mapumziko

HT, VPL: Simba SC 2-0 JKT Tanzania
 
Sidhani kama Manula amedaka hata mipira 5 mpaka sasa.
Leo alikuwa adake yule golikipa namba tatu. Kumchezesha Manula game hii ni kumdhalilisha...

Yani mechi hii hata angepangwa yule boya wa kidimbwini anaitwa Metacha Mnata, angetoka na clean sheet...
 
Nyoni na Lwanga wametengeneza combination nzuri sana pale kati
Hii Nyoni, Lwanga combination ikienda utopolo, hata ile gongowazi inaitwa Sarpong ingekuwa inatoa asssist kwa Ditram Nchimbi...

Leo Nchimbi katimiza mwaka mmoja rasmi tangu aifungie utopolo goli...

Yani straika wa Uto anazidiwa magoli na beki anayekaa benchi Msimbazi...
 
Back
Top Bottom