Wanaangalia head to head na unayelingana nae pointSimba hongereni, hizi timu za bongo nazishabikia zikiwa kimataifa tu, maana zinaitangaza Tanzania [emoji1241] nchi yangu na kufanya iwe juu kisoka. Ila Yanga upuuzi mtupu mnatolewaje vile.
Biashara United ilichofanyiwa acha tu inakera.
Namungo hongera kwa kusaidia pamoja na simba msimu uliopita kupeperusha bendera.
Ila Simba ilipaswa kufahamu inahitaji magoli mengi iwe Top of group ambayo advantage ni Kuanzia ugenini then kufanya mauaji kwa mkapa. Ila Hongereni sana kwenda Robo fainali si haba.
Tanzania [emoji1241] imewakilishwa ipasavyo.
Tupo chief uchovu tu wa kushangiliaMashabiki wengi wa simba siwaoni au ndo mmekwazika na haka kaushindi kembamba?
Bado tupo kitaa huku tunawasuta hawa mbwa koko.Kwa bongo saizi bado ni usiku kwa hiyo muda wengi mmelala
Unapenda goli nyingi mrembo eti?[emoji1787]Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sisi ni wa kimataifa hatunaga stress za kigoli kimoja cha mayele nyie pambaneni mchukue kombe la bank ya biashara sisi tunahesabu dolariii
Tungeongoza kundi hawa wa nafasi ya pili wote tungeruka nao kasoro pyramids tu wangetuhenyesha.Draw itupe hawa Al Ahl tuingie nusu
1. Al Ahli Tripoli [emoji1149]
2. Pyramids ....
Lijendi kwenye ubora wake[emoji23]
Kutikisa maziwa kumemsaidia, huoni kaishatolewa KISHIKA UCHUMBA, unadhani zile ng'ombe ni za bure mzee mwenzangu!? [emoji23] [emoji23]Ingekuwa ni mayele kafunga goli gumu kama la kanoute angetumia muda mwingi ku celebrate kwa kutetema kiasi ambacho kingefanya muda usiwe wa kutosha kuweza kufunga matatu mengine...
Tumesikitishwa sana na huu ushindi mwembamba.Mashabiki wengi wa simba siwaoni au ndo mmekwazika na haka kaushindi kembamba?
Najipa tano ...hongera Kocha Pablo!Mugalu anaibeba Simba Leo...nani anabisha!?