Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba huu Sasa uonezi aaagh sijapenda kabisa huu mteremko Raha ya mechi mpate ushindi mwembamba na Kwa tabu kweri kweri ndio soka utaona tamu,
Hiii game yanapigwa magoli kama mnapiga penalty namna Gani bwana!
😁😁😁😁😁😁🔥🔥🔥
 
Game over Yani hiii sijapenda yaani Mnyama anatupia goal dk ya 98
Aaaaagh ndio nini Sasa!
 
Ruvu shooting dhidi ya Simba hawajawahi kulitambua hili,yule Golikipa Mohammed Makaka ndio huwa anauza hizi Game zao

Namjua sana huyu Golikipa kabla hajaanza kucheza kwenye Top flight, kwanza ni mnazi sana Simba na pia issue ya kuchukua pesa kwenye game ni kawaida pia
 
Vipi wananchi hamkumpa!?
 
Mbona nyie timu Kabwili hamkumnunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…