Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

 
Boco na Kibu wanataka kuwasaulisha wana Simba machungu yao ili wasalie
Binafsi huwa najiuliza, hivi mnaong'ang'ania Kibu na Bocco waachwe, mbona huwa hamtaji wachezaji wazawa ambao wanapaswa kuja kujaza nafasi zao? Nadhani mmesahau nafasi ya mzawa inajazwa na mzawa, ya mgeni inajazwa na mgeni. Hebu basi muwe mnataja kwa majina, kwamba kwa mfano, badala ya Bocco asajiliwe Ngushi, badala ya Kibu asajiliwe Nkane nk. Angalieni wazawa woote halafu mje mseme hapa, sio kung'ang'ania eti waachwe, halafu then?
 
Kila mtu na kibonde wake ww Kagera sugar alikupiga pale kaitaba na mm nilimfunga bila shida kabisa......Mtibwa sugar ulitoa sare kwake ila Mimi nikamfunga kiulaini kabisa
hayo yanaitwa maumivu
 
Hakuna kosa kubwa Kama kumuacha kibu, Kwanza ndio chaguo la pablo
 
Habari ziwafikie wana Msimbazi haters wa kepitein fantasitik Scars
 
Kibu anaweza kubaki lakini Mpole wa Geita anafaa nafasi ya Bocco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…