Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

Huyu kipa Jefferson kwa taarifa yenu ni mzuri sana (huenda kuliko hata kipa yeyote hapa katika ligi ya Tanzania). Suala la kuumia au kanuni hilo silijui
 
Kwanza kabisa hata maandishi Yako yamejaa ushabiki tupu namaanisha kiutopolo topolo[emoji38]

Ila hilo la kukataliwa na kocha huoni kama umejitekenya mwenyewe na kujichekelea wakati anafika hapa mlisema (utopolo) kuwa amelewa na kocha kwa sababu ni ndugu yake leo una unasema amekataliwa na kocha sasa nani alimleta huyu kipa? (Utopolo mnijibu)

Na suala la Banda umeyaandika usiyoyajua haswaa kwahiyo baki kimya tu sio lazima uongee kila jambo hali yakuwa hufahamu chochote
 
Huyu kipa Jefferson kwa taarifa yenu ni mzuri sana (huenda kuliko hata kipa yeyote hapa katika ligi ya Tanzania). Suala la kuumia au kanuni hilo silijui
Uzuri wake uliwahi kumuona kwenye ligi ipi au mashindano yepi?

Sasa mjiandae na kuvunja mkataba wa Miquison, aliyewatapeli kumpa miaka mitatu kawaingiza cha kike.

Tusitetee ujinga kwa ajili ya ushabiki hii tabia ya ten percent haitakwisha.

Yule demu Barbara alishaonesha njia ya kukomesha hii tabia lakini akapigwa sana vita akaamuwa kuwaachia timu yenu.
 
Kwani kipi kimeharibika, mbona watu mnatokwa na mapovu?
 
10% zimekuwa zikiharibu sana sajili za Simba na Yanga kwa karibu miaka yote...

Ndio maana unaweza pata mchezaji fulani katekwa juu kwa juu ma timu A airport wakati nia ya safari yake ilikuwa kwenda timu B...
 
Kumbe Banda kawashika pabaya sana, tumtafteni John noble pengine atapatikana.
 
Samjo Samjo😃
 
Nasikiaga GENTAMYCINE ni mwandishi wa habari. Mashaka yangu asije akawa ni Manara huyu!
Asee hata mimi kuna siku nilishawahi kuhisi. Ukisoma between the lines mabandiko ya Manara na huyu jamaa kuna vionjo flani hivi vinafanana, ni kama huku JF amejaribu kubadilisha uandishi ila DNA ya mabandiko haijabadilika.

Manara huyu jamaa
 
Asee hata mimi kuna siku nilishawahi kuhisi. Ukisoma between the lines mabandiko ya Manara na huyu jamaa kuna vionjo flani hivi vinafanana, ni kama huku JF amejaribu kubadilisha uandishi ila DNA ya mabandiko haijabadilika.

Manara huyu jamaa
Ni watu tofauti hao. Huyo mmoja mara kwa mara anajinasibu na uenyeji wa mkoa wa MARA asili ikiwa ni Rwanda na upande wa mama Ungonini dini yenye makao makuu VATICAN.

Yule mwengine uenyeji ni UZARAMONI na dini mfanya twawafu AL KAABA.
 
TUWAPONGEZE WATANI ZETU BADALA YA KUWABEZA.
Ni klabu ya kwanza Tanzania kuweka historia ambayo itachukua miaka mingi kufikiwa au isifikiwe kabisa.
Kusajili mchezaji nje ya nchi na kuachana nae huko huko nje ya nchi sio jambo dogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tovovo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…