Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwamba makocha wote wa Simba na wa timu ya taifa hawajawahi kuliona hili, ila wewe ndio umeliona?KAKOLANYA NI ZAIDI YA MANULA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba makocha wote wa Simba na wa timu ya taifa hawajawahi kuliona hili, ila wewe ndio umeliona?KAKOLANYA NI ZAIDI YA MANULA.
Kwanza kabisa hata maandishi Yako yamejaa ushabiki tupu namaanisha kiutopolo topolo[emoji38]#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni.
#2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC itamlipa Mamilioni hivyo mnataka Kumbakisha.
#3. Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho Olivieira hakumtaka Kipa huyu Fernandez bali alimtaka Yule Do Santos ambaye anacheza Daraja la Tatu au la Pili huko nchini Brazil ila Wazee wa 10% walilazimisha huyu Asajiliwe ili wapige Pesa ila baadhi ya Makocha wa Simba SC wamenuona hatoshei.
#4. Uongozi wa TFF baada ya Kunusa nia ya Yanga SC kuwashtaki FIFA kwa kwenda Kinyume na Kanuni za Ligi Kuu na Hadhi za Wachezaji haraka sana wakawawahi Simba SC na kuwaambia wafanye lolote ila Kipa huyu Mbrazili Jefferson Luis asicheze kwani akicheza Wao TFF watatiwa Hatiani na kuwa mbaya Kwao.
Naipenda mno na sana Simba SC yangu ila kuna nyakati huwa mnanikera na ndiyo huamua Kuwageukeni na kuwatoleeni Uvivu.
GENTAMYCINE nawauliza Viongozi wa Simba SC hivi kwanini mliruhusu Kipa ambaye naamini anamzidi hata Manula Kiuwezo Beno Kakolanya aondoke wakati Kipindi hiki ndiyo alikuwa anaenda kuwa mbadala mzuri wa Manula akisaidiana na Dogo Ali Salim?
Ninachojua GENTAMYCINE nj kwamba haumwi wala nini huyu Kipa wetu wa Michongo na Ujanja Ujanja ila mmemwambia ajipigishe Shoti / ajivunje kwa Kujifanya Kaumia na atakaa Nje kwa Miezi Minne kisha Idadi ya Wachezaji wa Kigeni ibakie ile ile 12 na sasa mtafute Kipa mwingine ama kutoka ndani ( Tanzania ) au Nje na akiwa wa Nje nimeambiwa mnataka Kuwaomba TFF na Serikali ( kupitia BMT ) waruhusu Vilabu vya Tanzania visajili Wachezaji wa Kigeni hata 15 ili kusudi hawa waliozidi waweze kuwa sehemu Salama.
Uongozi wa Simba SC mnakurupuka mno. Na hapa bila ya Unafiki au Unazi wangu Niwasifu sana Watani zangu Yanga SC kwani chini ya Rais wao Injinia Hersi Said wameshatoka Siku nyingi tu katika huu Uswahili, Ujinga, Uhuni na Utapeli ambao Simba SC tunao ( upo ) tena Ukiongozwa na Mwekezaji Wetu Mohammed Dewji ( Samjo Samjo yaani Muongo Muongo ) na 75% ya Watendaji wake wa Bodi ya Simba SC.
Hovyo kabisa...!!
Diara, Kaseja, Manura wana urefu gani?Ufupi wa Kakolanya huwa unanipa shaka sana ingawa mara nyingi huwa ananipruvu wrong
Uzuri wake uliwahi kumuona kwenye ligi ipi au mashindano yepi?Huyu kipa Jefferson kwa taarifa yenu ni mzuri sana (huenda kuliko hata kipa yeyote hapa katika ligi ya Tanzania). Suala la kuumia au kanuni hilo silijui
Kwani kipi kimeharibika, mbona watu mnatokwa na mapovu?Uzuri wake uliwahi kumuona kwenye ligi ipi au mashindano yepi?
Sasa mjiandae na kuvunja mkataba wa Miquison, aliyewatapeli kumpa miaka mitatu kawaingiza cha kike.
Tusitetee ujinga kwa ajili ya ushabiki hii tabia ya ten percent haitakwisha.
Yule demu Barbara alishaonesha njia ya kukomesha hii tabia lakini akapigwa sana vita akaamuwa kuwaachia timu yenu.
Jibu swali, usirukeruke kama Bata bukini.Kwani kipi kimeharibika, mbona watu mnatokwa na mapovu?
Atakua George AmbangileNasikiaga GENTAMYCINE ni mwandishi wa habari. Mashaka yangu asije akawa ni Manara huyu!
Nimependa ulivyolikaba hilo Kolo-meo😂😂😂Jibu swali, usirukeruke kama Bata bukini.
Swali ni je huyo kipa uzuri wake ulimuona ligi IPI au kwenye mashindano gani?
Mbona swali rahisi tu?
Samjo Samjo😃#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni.
#2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC itamlipa Mamilioni hivyo mnataka Kumbakisha.
#3. Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho Olivieira hakumtaka Kipa huyu Fernandez bali alimtaka Yule Do Santos ambaye anacheza Daraja la Tatu au la Pili huko nchini Brazil ila Wazee wa 10% walilazimisha huyu Asajiliwe ili wapige Pesa ila baadhi ya Makocha wa Simba SC wamenuona hatoshei.
#4. Uongozi wa TFF baada ya Kunusa nia ya Yanga SC kuwashtaki FIFA kwa kwenda Kinyume na Kanuni za Ligi Kuu na Hadhi za Wachezaji haraka sana wakawawahi Simba SC na kuwaambia wafanye lolote ila Kipa huyu Mbrazili Jefferson Luis asicheze kwani akicheza Wao TFF watatiwa Hatiani na kuwa mbaya Kwao.
Naipenda mno na sana Simba SC yangu ila kuna nyakati huwa mnanikera na ndiyo huamua Kuwageukeni na kuwatoleeni Uvivu.
GENTAMYCINE nawauliza Viongozi wa Simba SC hivi kwanini mliruhusu Kipa ambaye naamini anamzidi hata Manula Kiuwezo Beno Kakolanya aondoke wakati Kipindi hiki ndiyo alikuwa anaenda kuwa mbadala mzuri wa Manula akisaidiana na Dogo Ali Salim?
Ninachojua GENTAMYCINE nj kwamba haumwi wala nini huyu Kipa wetu wa Michongo na Ujanja Ujanja ila mmemwambia ajipigishe Shoti / ajivunje kwa Kujifanya Kaumia na atakaa Nje kwa Miezi Minne kisha Idadi ya Wachezaji wa Kigeni ibakie ile ile 12 na sasa mtafute Kipa mwingine ama kutoka ndani ( Tanzania ) au Nje na akiwa wa Nje nimeambiwa mnataka Kuwaomba TFF na Serikali ( kupitia BMT ) waruhusu Vilabu vya Tanzania visajili Wachezaji wa Kigeni hata 15 ili kusudi hawa waliozidi waweze kuwa sehemu Salama.
Uongozi wa Simba SC mnakurupuka mno. Na hapa bila ya Unafiki au Unazi wangu Niwasifu sana Watani zangu Yanga SC kwani chini ya Rais wao Injinia Hersi Said wameshatoka Siku nyingi tu katika huu Uswahili, Ujinga, Uhuni na Utapeli ambao Simba SC tunao ( upo ) tena Ukiongozwa na Mwekezaji Wetu Mohammed Dewji ( Samjo Samjo yaani Muongo Muongo ) na 75% ya Watendaji wake wa Bodi ya Simba SC.
Hovyo kabisa...!!
Inawezekana!Atakua George Ambangile
Asee hata mimi kuna siku nilishawahi kuhisi. Ukisoma between the lines mabandiko ya Manara na huyu jamaa kuna vionjo flani hivi vinafanana, ni kama huku JF amejaribu kubadilisha uandishi ila DNA ya mabandiko haijabadilika.Nasikiaga GENTAMYCINE ni mwandishi wa habari. Mashaka yangu asije akawa ni Manara huyu!
Kiukweli siku zote Mimi nahisi ni Manara!!Asee hata mimi kuna siku nilishawahi kuhisi. Ukisoma between the lines mabandiko ya Manara na huyu jamaa kuna vionjo flani hivi vinafanana, ni kama huku JF amejaribu kubadilisha uandishi ila DNA ya mabandiko haijabadilika.
Manara huyu jamaa
Ni watu tofauti hao. Huyo mmoja mara kwa mara anajinasibu na uenyeji wa mkoa wa MARA asili ikiwa ni Rwanda na upande wa mama Ungonini dini yenye makao makuu VATICAN.Asee hata mimi kuna siku nilishawahi kuhisi. Ukisoma between the lines mabandiko ya Manara na huyu jamaa kuna vionjo flani hivi vinafanana, ni kama huku JF amejaribu kubadilisha uandishi ila DNA ya mabandiko haijabadilika.
Manara huyu jamaa
Tovovo hili#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni.