Simba SC habari imeishia Zanzibar , hii timu Yanga angeipiga goli 5

Hamuwezi kushinda pale SA , amini kaka nakuhakikishia

Si umeona timu yenyewe sio haba na imewakosa kosa sana

Sasa kwao itakuaje.::…….. imeishia hata muwashe moto
Muda utatoa jibu
 
Reactions: BRN
I swear

Pale ingeshinda nyongi

Kitengo cha intellgence cha Ssc kimefeli sna

Mpira ni energy…. Energy flow kwa taifa ni kubwa na ule ndio uwanja wa SSC

KUNA ENERGY TRANSCENDENCE KUBWA

ZNZ walikuwa ugenini
Usijiaminishe kwa kuapa mkuu, mpira una mengi utaishia kushangaa
 
Yanga iliyoshindwa kumfunga mwarabu goli moja tu iende hatua ya robo fainali ndio ingefanya nini. Unawashwa wewe subiri ukunwe
Ile ni michuano mikubwa

Hii timu iliyocheza na SSC ulishawahi kuisikia mara ya mwisho lini?
 
Yanga apige goli tano kwenye kombe lipi?.
 
Makosa yaleyale aliyofanya Ateba dhidi ya Yanga ndio hayahaya anafanya Ahoua dhidi ya stele. Sehemu ya pasi wao wanataka kufunga
 
Sasa why yanga hakucheza Leo?
 
Inawezekana simba walizikosa hizo chances kutokana na pressure ya kutaka kufunga goli nyingi, lakini naimani kule sauzi at least pressure itakuwa chini na wanaweza kupata chochote
Sio Rais

Hata Stela wanahesabu zao pia

Kihistoria hawajawqhi kufungwa uwanjan kwao
 
I swear

Pale ingeshinda nyongi

Kitengo cha intellgence cha Ssc kimefeli sna

Mpira ni energy…. Energy flow kwa taifa ni kubwa na ule ndio uwanja wa SSC

KUNA ENERGY TRANSCENDENCE KUBWA

ZNZ walikuwa ugenini

iMeisha iyo
Do not trust uongozi wa simba ni waarabu wenzao tena dini moja inawezekana kabisa kuna mabilioni watu wanapewa maana muarabu aangalii hela atakayo pata kwenye mechi bali heshima na faida nyingine ...sina imani na viongozi wa timu zetu hizi .......kwenye mipira kuna biashara za kichaga za kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ...usikute muarabu ndiyo mbinu anayo tumia kuzishinda timu zetu kila kukicha ...usikute kuna mzigo wa dola mil 12 watu wamesha pewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…