Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Bado tatu zifike sita
 
Umenena vema
Kuna Watu wa aina 2 duniani;

1. Wakweli.

2. Wanafki.

Mleta mada yupo kundi la kwanza ingawa alichonena si uhakika 100% lakini kaogopa unafki wa kuwatakia Simba kila la heri ilihali yeye ni mshabiki wa Yanga
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
ngapi huko mwandishi?????
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Umbwa weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…