Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

Uingie nusu fainali, robo ama Makundi. Kama hujatwaa Ubingwa bado ni jitihada za Bure.
 
😂😂
 
Nawaelewa Simba hasa kipindi hiki wanachotamani kukimbia hii mechi

Ila ndio haitawezekana inabidi waje tu uwanjani
 
Uingie nusu fainali, robo ama Makundi. Kama hujatwaa Ubingwa bado ni jitihada za Bure.
Kwahiyo una kubali kwamba yanga ni timu kongwe lakini kwenye anga za kimataifa ni underdog [emoji23][emoji23]
 
Ila Simba akigomea si faida kwenu utopolo [emoji28][emoji28][emoji28] acha wagome mpate ubingwa kirahisi
 
Jeuri kweli unayo maana ushawahi kumkimbia mtani wako mara mbili katika dabi,Ila uwezo ndo bado hauna.
Mtani wangu kwa sasa ni Mazembe.kwa Africa ya kaskazini ni Al Ahly,mi nipo level za kimataifa uko.
 
Mtani wangu kwa sasa ni Mazembe.kwa Africa ya kaskazini ni Al Ahly,mi nipo level za kimataifa uko.
na wakivyojipigia leo hii wakisikia hii watashangaa sana..

Tanzania ina watu wa hovyo.. 😀
 
Kanuni ya (16) ya udhamini inasema, Nembo ya mdhamini wa Ligi Kuu itawekwa kwa rangi zake halisi katika mkono wa kulia kwenye Jezi za timu za kuchezea, na timu zitalazimika kufanya hivyo kwa michezo yote”
“Haya (TFF) mtuambie mmetumia kanuni ipi ? Ligi inawadhamini wakuu wangapi ? (GSM) wakae kushoto kwa kanuni ipi ?
 
Mbona unatishia watu nyau..?

Nasikia mmesanda na mmekubali yaishe.

Nyinyi hamuwezi kusimamia shoo za kibabe. [emoji16]

Kumbe umesikia,nilidhani una uhakika,basi kaa hivyo hivyo na kusikia kwako [emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waambie hao Makolokolo,, Sisi ndo Wananchi..

Nawakumbusha Mikia kuwa kipigo kipo palepale
 
Kapu la mjanja mjinga hatii mkono. Imeisha hiyo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mabango yenu yameshatolewa sasa ukubwa wenu uko wapi?!!..Kushiriki ligi za ndani Tu for 4 bad years huu ndio ukubwa?
 
Sijui unajisikiaje huko uliko ewe ndugu mleta mada, haya mabango yametolewa una kipi Cha kutetea huu Uzi wako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…