Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

Kwahiyo mara ya mwisho kuingia hatua ya makundi ya Caf ni 1998 [emoji28] .. anyway Simba aliwahi kufika semi final ya caf champions league na 1993 alifika fainali ya caf confederation .. ndani ya misimu minne ya hivi karibuni ameingia hatua ya makundi ya Caf champions league zaidi ya mara 3 na kutinga hatua ya robo fainali mara mbili back to back na msimu huu ametinga tena hatua na makundi kwenye confederation .. kwa takwimu hizi, yanga ni timu ya mchangani tu hamna influence yeyote [emoji23][emoji23]
Uingie nusu fainali, robo ama Makundi. Kama hujatwaa Ubingwa bado ni jitihada za Bure.
 
1998 yanga ilikua timu ya kwanza kuingia hatua za makundi CAFCL na alifika mpaka robo(kumbuka hapa kwenye makundi timu zilikua 32 na sio 16 kama sasa)

2014/15, 2015/16, 2016/17
Yanga ndio timu ya kwanza kucheza mashindano mawili mfululizo katika miaka hiyo mitatu ilianzia katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa na iliposhindwa huko ilishushwa kushiriki mashindano ya kombe la Shirikisho.
Baada ya kushushwa katika hatua ya kombe la Shirikisho ilifanikiwa kuingia katika hatua ya makundi mara mbili msimu wa mwaka 2015/16 na msimu wa 2017/17.

Simba ndo mara yao ya kwanza kuingia hatua ya makundi ya shirikisho mwaka huu.

Kingine..?
😂😂
 
Nawaelewa Simba hasa kipindi hiki wanachotamani kukimbia hii mechi

Ila ndio haitawezekana inabidi waje tu uwanjani
 
Uingie nusu fainali, robo ama Makundi. Kama hujatwaa Ubingwa bado ni jitihada za Bure.
Kwahiyo una kubali kwamba yanga ni timu kongwe lakini kwenye anga za kimataifa ni underdog [emoji23][emoji23]
 
Ila Simba akigomea si faida kwenu utopolo [emoji28][emoji28][emoji28] acha wagome mpate ubingwa kirahisi
 
Jeuri kweli unayo maana ushawahi kumkimbia mtani wako mara mbili katika dabi,Ila uwezo ndo bado hauna.
Mtani wangu kwa sasa ni Mazembe.kwa Africa ya kaskazini ni Al Ahly,mi nipo level za kimataifa uko.
 
na wakivyojipigia leo hii wakisikia hii watashangaa sana..

Tanzania ina watu wa hovyo.. 😀
 
Kanuni ya (16) ya udhamini inasema, Nembo ya mdhamini wa Ligi Kuu itawekwa kwa rangi zake halisi katika mkono wa kulia kwenye Jezi za timu za kuchezea, na timu zitalazimika kufanya hivyo kwa michezo yote”
“Haya (TFF) mtuambie mmetumia kanuni ipi ? Ligi inawadhamini wakuu wangapi ? (GSM) wakae kushoto kwa kanuni ipi ?
 
Mbona unatishia watu nyau..?

Nasikia mmesanda na mmekubali yaishe.

Nyinyi hamuwezi kusimamia shoo za kibabe. [emoji16]

Kumbe umesikia,nilidhani una uhakika,basi kaa hivyo hivyo na kusikia kwako [emoji3]
 
Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC.

Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba.

Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za soka kama ilivyo kwa Yanga SC.

Ikumbukwe Derby ya mwisho Yanga aligoma kuingiza timu uwanjani kwa madai ya kanuni zimeyumbishwa.

Yanga iliweza kusimamia msimamo wake na hakuna mbuzi iliyojaribu hata kuwakata alama.

Nina waonya Simba SC ole wenu mkubali kupotoshwa na wataalamu wenu wa kutafsiri kanuni waliosoma Diploma za Online.

Uwanja ni lazima yawepo Mabango Makubwa ya Chapa GSM. Mkigoma kuingiza timu tutawafuata huko huko Mo Arena tukipige cha kirafiki.

View attachment 2039318
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waambie hao Makolokolo,, Sisi ndo Wananchi..

Nawakumbusha Mikia kuwa kipigo kipo palepale
 
[emoji848]
20211210_185157.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC.

Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba.

Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za soka kama ilivyo kwa Yanga SC.

Ikumbukwe Derby ya mwisho Yanga aligoma kuingiza timu uwanjani kwa madai ya kanuni zimeyumbishwa.

Yanga iliweza kusimamia msimamo wake na hakuna mbuzi iliyojaribu hata kuwakata alama.

Nina waonya Simba SC ole wenu mkubali kupotoshwa na wataalamu wenu wa kutafsiri kanuni waliosoma Diploma za Online.

Uwanja ni lazima yawepo Mabango Makubwa ya Chapa GSM. Mkigoma kuingiza timu tutawafuata huko huko Mo Arena tukipige cha kirafiki.

View attachment 2039318
Kapu la mjanja mjinga hatii mkono. Imeisha hiyo
JamiiForums1183272215.jpg
IMG-20211210-WA0007.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC.

Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba.

Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za soka kama ilivyo kwa Yanga SC.

Ikumbukwe Derby ya mwisho Yanga aligoma kuingiza timu uwanjani kwa madai ya kanuni zimeyumbishwa.

Yanga iliweza kusimamia msimamo wake na hakuna mbuzi iliyojaribu hata kuwakata alama.

Nina waonya Simba SC ole wenu mkubali kupotoshwa na wataalamu wenu wa kutafsiri kanuni waliosoma Diploma za Online.

Uwanja ni lazima yawepo Mabango Makubwa ya Chapa GSM. Mkigoma kuingiza timu tutawafuata huko huko Mo Arena tukipige cha kirafiki.

View attachment 2039318
Mabango yenu yameshatolewa sasa ukubwa wenu uko wapi?!!..Kushiriki ligi za ndani Tu for 4 bad years huu ndio ukubwa?
 
Sijui unajisikiaje huko uliko ewe ndugu mleta mada, haya mabango yametolewa una kipi Cha kutetea huu Uzi wako ?
 
Back
Top Bottom