Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa alienda kwa mgongo wa Simba na hamna cha maana alichofanya huko Caf zaidi ya kutia aibu taifa.Umesema miaka nenda rudi,wakati yanga katika juzi tu CAFCL
Mbona unatishia watu nyau..?Tff kuna makandokando yake mengi tu Simba akiamua kumpakazia hii ligi ya madafu itachezwa viongozi wa tff wakiwa mikononi mwa takukuru.
Sawa wewe ulienda ulifanya kipi cha maana?Kwanza kabisa alienda kwa mgongo wa Simba na hamna cha maana alichofanya huko Caf zaidi ya kutia aibu taifa.
Mara ya mwisho Yanga anaingia hatua ya makundi ya Caf champions league Ilikua ni lini [emoji23]Sawa wewe ulienda ulifanya kipi cha maana?
Jibu hoja sio vioja!Mara ya mwisho Yanga anaingia hatua ya makundi ya Caf champions league Ilikua ni lini [emoji23]
Swali mbona jepesi sana, mara ya mwisho mnaingia makundi caf champions league Ilikua ni mwaka gani ?? .. kipi kisicho eleweka hapo.Jibu hoja sio vioja!
Kuna shoo ya kibabe ya kuzidi kesi ya CAS ya BM?Mbona unatishia watu nyau..?
Nasikia mmesanda na mmekubali yaishe.
Nyinyi hamuwezi kusimamia shoo za kibabe. [emoji16]
Jeuri tunayo,nia tunayo na uwezo tunao.Hiyo jeuri simba hawana.
Vp na aliefika robo fainali mara nyingi?Aliye panda ndege mara nyingi ni yule aliyetwaa ndoo mara nyingi.
1998 yanga ilikua timu ya kwanza kuingia hatua za makundi CAFCL na alifika mpaka robo(kumbuka hapa kwenye makundi timu zilikua 32 na sio 16 kama sasa)Swali mbona jepesi sana, mara ya mwisho mnaingia makundi caf champions league Ilikua ni mwaka gani ?? .. kipi kisicho eleweka hapo.
Jeuri kweli unayo maana ushawahi kumkimbia mtani wako mara mbili katika dabi,Ila uwezo ndo bado hauna.Jeuri tunayo,nia tunayo na uwezo tunao.