Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Zaidi ya yule jinga jinga Hamisi sidhani kama kuna mtu mwingine anayehoji mambo hayo
 
Simba anaji position kuwa moja ya top 5 club hapa Africa baada ya miaka hii mchache. Kuna mambo kama wameyaruka hivi kwa muda ndiyo maana kidogo wanatetereka ila wakikaa sawa watakuwa hawashikiki.

Siasa tu kuingilia shughuli za mpira ndiyo inaweza kuendelea kuwavuruga mara kwa mara.
 
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Kwahivyo billioni 20 na Mkataba wa Vunjabei na hizo ngonjera zenu za wivu kwa Barbra ndo kikwazo ambapo Klabu haiwezi kuendelea na mambo mengine?

Mbona mnapata taabu kwa mambo mepesi kiasi hiki.
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
 
Wenye akili ni wawili tuu yani wawili tuu huko utopoloni

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Hii Simba ya msimu huu itakua tishio

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Tishio la Simba ni kwa timu za ndondo sio kwa Yanga waende hata wakacheze na Brazil ila October ni kichapo tu kama kawaida hakuna raha kama kumchinja mnyama!

Yanga msimu huu itabeba kombe la CAF na kukata ngebe zote za Makolo FC subirini mtaona, Kolo wote mtanyamaza!
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Hii ni akili au matope?
 
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Unajikuta wewe ndio uko zero distance na Nyoso. wanasimba wanajua viongozi wao wamefanya nini kuweka vitu sawa
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Kwahivyo unataka Simba ikae wiki mbili bila kucheza kisa wewe utakuwa wa mwisho kuamini?

Hizi game ni kwa ajili ya kumantain match fitness kwa wachezaji, mbona mnapata taabu kwa mambo mepesi kiasi hiki..!
 
Kikosi kilivyokibovu hata wacheze friendly mechi na Mancity bado haisaidii chochote ni kutumia rasilimali vibaya
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Angalia Fixture ya Man City halafu urudi na utumbo wako
 
Attachments

  • 87EC57D5-34D6-4CE5-B0BD-1651EDF02A80.jpeg
    87EC57D5-34D6-4CE5-B0BD-1651EDF02A80.jpeg
    61.3 KB · Views: 6
Sisi Simba tunajua yanga hajawahi kutufunga kwa mpira wa uwanjani...
 
Back
Top Bottom