Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Unaenda kucheza frendly games na wachezaji amaabo sio kikosi cha kwanza hii technically haina mashiko
Tatizo umeamua kujiandikia tu, wachezaji wa kikosi cha kwanza watakaokosekana ni watatu tu, Aish Manula, Mo Hussein na Kapombe wengine wote wapo.
 
Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
maana halisi ya wenye akili ni wawili tu
 
Mbona matusi tena!! Waungwana Wana shindana Kwa hoja kumtukana mtu usiye mfahamu unaweza kujipatia laana isiyo na Sababu.
Unaweza Kuta Mimi ni Baba yako, kuwa mwangalifu.
Mbona sijakutukana mkuu? Mpumbavu sio tusi mkuu ningesema mjinga kweli hapo ningekua nakutukana. Upumbavu unarekebishika vizuri tuu ipo siku upumbavu utaisha.
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Endelea na ubwege wako.. ulitaka walale?
 
Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]

IMG_0617.jpg

IMG_0618.jpg

Tukuite ama tukuache ulale tu. Ujuaji mwingi
 
Utaka kujua ni bonanza na awapo serious Kuna wachezaji watano wa Man City mimi siwajui na wameanza. Hii inaonyesha hakuna ushindani halisi utakao patikana. Timu inaingiza silaha za maana nne vilivyobaki ni virungu na ndicho tulicho maanisha.
 
Baada ya kuulizia yoyote wa first eleven sasa hivi umechange gia angani na kutaka kuwaona wote wa first eleven kwanini usikubali tu mkuu kuwa ulipuyanga na watu wamekuita wamekupa fact
Maana hata simba hataanza na wachezaji wote wa first 11 huko Sudan na hii ndio maana ya mechi ya kirafiki kujua pia ubora wa wachezaji wengne usiowatumia sana
 
Simba ataanza yoyote kwakua hawana First eleven, Mimi Siongei Chupri nakueleza uhalisia wa mpira wa miguu.
 
Simba ataanza yoyote kwakua hawana First eleven, Mimi Siongei Chupri nakueleza uhalisia wa mpira wa miguu.
Yes yoyote atakayeanza mechi husika ndio first eleven ya timu kwa mechi husika na ikifungwa au kushinda ni Simba haijalishi wewe utaiita ni first au second eleven whatever.
Nafurahi sasa umeelewa maana ya timu
 
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.

Kama wewe shabiki ambaye hata leo club itangaze kuuza hisa huwezi nunua.

Acha wafurahie matokeo ya timu uwanjani.
 
Mechi ya kirafiki ya Kimataifa
 
Attachments

  • Screenshot_20220828-101558~2.png
    Screenshot_20220828-101558~2.png
    57.2 KB · Views: 5
Mkuu Ghazwat umeshindwa kuanzisha Uzi wa Live
 
Back
Top Bottom