Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ukiyakumbuka tu maneno ya Mwenyekiti wa zamani Ismail Aden Rage! Hata huumizi kichwa.Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.