Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Kwani unashwbikia liver au chellse mikataba unaijua hizo b 20 zikiekwa cc mashabiki tunapata nini chamuhimu chama lisonge mbele
 
Klabu ya Simba [emoji1241] Wekundu wa Msimbazi Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF, wanatarajiwa kusafiri kwenda kucheza mechi tatu za Kimataifa za Kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana [emoji1110] Agosti 28, Al Hilal ya Sudan [emoji1232] Agosti 31, na mwisho dhidi ya AS Arta Solar ya Djibouti [emoji1089] September 3, mechi hizi ni katika kujiweka sawa kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana

View attachment 2331664
imekaa vzr mno
 
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
hahahaha.watanzania wepesi sana,katiba mpya inaweza kuwaokoa
 
Sisi yanga hatujaenda pre season tumemfunga na hatuchezi mechi za kirafiki tunamsubiri tena simba tumfunge hyo ndo furaha yetu huko kwingine hatuna shida napo alisikika utopolo mmoja.
Akili za kimasikini
 
Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Man city wapo jiji la Barcelona kucheza mechi ya kirafiki na ligi yao ishaanza
 
Man city wapo jiji la Barcelona kucheza mechi ya kirafiki na ligi yao ishaanza
Ao ni wachezaji majeruhi na wa akiba, Hakuna Sinior player ambaye ni mzima utakuta anacheza mechi izo. Izo mechi za wachezaji waliokua wagonjwa wanatafutiwa utimamu na wale wa kikosi Cha pili kupata watakao panda sinior timu.
 
We jamaa una matatizo, umeona hata wachezaji walioenda au unajiongelea tu? Sasa majeruhi wanaanzaje kucheza? Hata kama ni kikosi cha pili kwani ni wachezaji wa Yanga au Man City? Watu huwa mnajifanya wajuaji ila hamna lolote.
 
Yaani majeruhi wanacheza duuh huyo jamaa ni kiboko aisee
Yaani timu itafute friend match nje kabisa ya nchi yake kwaajili ya majeruhi kucheza?
 
Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
Haya tumekubali Man City wanakwenda kucheza huku wakiwa na wachezaji majeruhi na wa akiba.. Sijui ilitokea wapi hiyo duniani [emoji16]

Na wengine hawa nao wanacheza
20220823_080902.jpg
 
Na miaka onavyozidi kusogea kuna uwezekano wa Simba kutafuta mpinzani wake wa kimataifa yani mechi yenye kuvuta hisia za watu wengi
Ukubwa haulazimishwi, narudia Tena na Tena.
Hakuna timu kubwa duniani inayofanywa vyovyote na haina hata kombe moja,
Na pia haijawahi Wala kujaribu kutwaa kombe hili la Africa,
Kama Simba Ni kubwa ,ukienda Egypt je Kuna mechi hata moja alicheza na ahly,zamalek, pyramid, zaidi ya kucheza na timu za daraja la 4? Na CEO wenu kulazimisha picha na watu maarufu
 
Back
Top Bottom