Zaidi ya yule jinga jinga Hamisi sidhani kama kuna mtu mwingine anayehoji mambo hayoIla wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Baada ya Simba kufungwa na Uto ngao ya jamii wote walihoji mkuu. Hata huku JFZaidi ya yule jinga jinga Hamisi sidhani kama kuna mtu mwingine anayehoji mambo hayo
Kwahivyo billioni 20 na Mkataba wa Vunjabei na hizo ngonjera zenu za wivu kwa Barbra ndo kikwazo ambapo Klabu haiwezi kuendelea na mambo mengine?Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Kwani si kila mtu afanye yake ki mpango wakeYanga ameenda lini kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi ukiacha zile za wakati wako kambini kwenye pre-season?
Wewe hua ni ka bwege flani mpinzani hua anataftwa?Na miaka onavyozidi kusogea kuna uwezekano wa Simba kutafuta mpinzani wake wa kimataifa yani mechi yenye kuvuta hisia za watu wengi
Wenye akili ni wawili tuu yani wawili tuu huko utopoloniMimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Tishio la Simba ni kwa timu za ndondo sio kwa Yanga waende hata wakacheze na Brazil ila October ni kichapo tu kama kawaida hakuna raha kama kumchinja mnyama!
Hii ni akili au matope?Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Unajikuta wewe ndio uko zero distance na Nyoso. wanasimba wanajua viongozi wao wamefanya nini kuweka vitu sawaIla wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Kwahivyo unataka Simba ikae wiki mbili bila kucheza kisa wewe utakuwa wa mwisho kuamini?Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Angalia Fixture ya Man City halafu urudi na utumbo wakoMimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.