Ukiyakumbuka tu maneno ya Mwenyekiti wa zamani Ismail Aden Rage! Hata huumizi kichwa.Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Unatakiwa ujue walioanzisha hayo ni wakina nani? Simba ni dude kubwa sana, halitikisiki kirahisi, linatafuta kutua kimataifa. Na siku sio nyingi. Dude hili limefanya mpaka Yanga watumie nguvu kujipanga, lakini wana kiburi, wangekuwa wapole waulize huwa tunachukuaje point 9 kwa mkapa group stage.Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Ndio jipya letu kujiandaa na msimu wa mpya wa CAF. Karibuni huko CAF mkianza kucheza na timu mnayofanana nayo kutoka Sudan ya kusini, ni aibu sana mkifungwa na wale jamaaMbona hata mwaka jana mlicheza na akina Tp Mazembe! Hakuna jipya hapo. Timu nyingi tu za ndani, na hata nje nchi wanafanya hivyo.
Kwani na nyinyi si mnaanzia hatua hiyo hiyo! Na mpaka sasa mna uhakika wa asilimia ngapi ya kuwatoa Big Bullets ya Malawi?Ndio jipya letu kujiandaa na msimu wa mpya wa CAF. Karibuni huko CAF mkianza kucheza na timu mnayofanana nayo kutoka Sudan ya kusini, ni aibu sana mkifungwa na wale jamaa
Halafu unalalamika kuwa kuna mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kejeli..!Ukiyakumbuka tu maneno ya Mwenyekiti wa zamani Ismail Aden Rage! Hata huumizi kichwa.
Sasa ukilinganisha maneno ya huyo kocha na ya Mwenyekiti; hivi huoni utofauti! Ismail Aden Rage unawezaje kumfananisha na huyo Luc, au Haji Manara?Halafu unalalamika kuwa kuna mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kejeli..!
Kwahivyo kumbe hata Kocha Luc alivyosema mashabiki wa Yanga ni Manyani, Mbwa yanapenda kubweka anakuwa yupo sahihi..?!
Mungu ibariki SIMBAKlabu ya Simba [emoji1241] Wekundu wa Msimbazi Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF, wanatarajiwa kusafiri kwenda kucheza mechi tatu za Kimataifa za Kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana [emoji1110] Agosti 28, Al Hilal ya Sudan [emoji1232] Agosti 31, na mwisho dhidi ya AS Arta Solar ya Djibouti [emoji1089] September 3, mechi hizi ni katika kujiweka sawa kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
View attachment 2331664
Acha upumbavu akili zako zimeishia jangwani kwwnye madimbwiAchana na Misri, Simba ilisha Kaa Brazil mwezi mzima Wakaja na mtindowao wa soka Diagonal Samba kufika anakutana na Yanga, Simba alitandikwa 2-0.
Azam FC alienda kucheza bonanza kama lenu mwaka 2016 Ndola Zambia hakuna kipyaKuna watu wataiga
Mbona matusi tena!! Waungwana Wana shindana Kwa hoja kumtukana mtu usiye mfahamu unaweza kujipatia laana isiyo na Sababu.Acha upumbavu akili zako zimeishia jangwani kwwnye madimbwi
Sie tunawasubiri hapa hapa tuwaue tena oktoba 23...Uto wataiga na hii
Wachezaji majeruhi wacheze?? Wewe ni malaya wa mpira, umeuvamia tu ndiomaana kuna muda unaandika points ambazo hata mwanamke asiyejua mpira hawezi kuziandika.Ao ni wachezaji majeruhi na wa akiba, Hakuna Sinior player ambaye ni mzima utakuta anacheza mechi izo. Izo mechi za wachezaji waliokua wagonjwa wanatafutiwa utimamu na wale wa kikosi Cha pili kupata watakao panda sinior timu.
Basi sawa, watacheza majeruhi kama ulivyosema.Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
Kocha Luc akiwadadavua vyema, Hata hamtusumbui.Ukiyakumbuka tu maneno ya Mwenyekiti wa zamani Ismail Aden Rage! Hata huumizi kichwa.