Tatizo umeamua kujiandikia tu, wachezaji wa kikosi cha kwanza watakaokosekana ni watatu tu, Aish Manula, Mo Hussein na Kapombe wengine wote wapo.Unaenda kucheza frendly games na wachezaji amaabo sio kikosi cha kwanza hii technically haina mashiko
maana halisi ya wenye akili ni wawili tuKama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona sijakutukana mkuu? Mpumbavu sio tusi mkuu ningesema mjinga kweli hapo ningekua nakutukana. Upumbavu unarekebishika vizuri tuu ipo siku upumbavu utaisha.Mbona matusi tena!! Waungwana Wana shindana Kwa hoja kumtukana mtu usiye mfahamu unaweza kujipatia laana isiyo na Sababu.
Unaweza Kuta Mimi ni Baba yako, kuwa mwangalifu.
Endelea na ubwege wako.. ulitaka walale?Mimi ntakua mtu wa mwisho kuamini klabu kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi wakati msimu wa mashindano umeanza.
Ata kama ni umbumbumbu sio wa level hii[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuna klabu yoyote duniani inaweza kuiga uo upuuzi.
Kama katika iyo mechi atakuwepo mchezaji yoyote wa kikosi Cha kwanza wa Barca au Man City atakaye cheza iyo mechi mniite nime Kaa pale.Poleni na umbumbumbu wenu wa soka.[emoji2][emoji2][emoji2]
Baada ya kuulizia yoyote wa first eleven sasa hivi umechange gia angani na kutaka kuwaona wote wa first eleven kwanini usikubali tu mkuu kuwa ulipuyanga na watu wamekuita wamekupa factUtaka kujua ni bonanza na awapo serious Kuna wachezaji watano wa Man City mimi siwajui na wameanza. Hii inaonyesha hakuna ushindani halisi utakao patikana. Timu inaingiza silaha za maana nne vilivyobaki ni virungu na ndicho tulicho maanisha.
Simba ataanza yoyote kwakua hawana First eleven, Mimi Siongei Chupri nakueleza uhalisia wa mpira wa miguu.Baada ya kuulizia yoyote wa first eleven sasa hivi umechange gia angani na kutaka kuwaona wote wa first eleven kwanini usikubali tu mkuu kuwa ulipuyanga na watu wamekuita wamekupa fact
Maana hata simba hataanza na wachezaji wote wa first 11 huko Sudan na hii ndio maana ya mechi ya kirafiki kujua pia ubora wa wachezaji wengne usiowatumia sana
Yes yoyote atakayeanza mechi husika ndio first eleven ya timu kwa mechi husika na ikifungwa au kushinda ni Simba haijalishi wewe utaiita ni first au second eleven whatever.Simba ataanza yoyote kwakua hawana First eleven, Mimi Siongei Chupri nakueleza uhalisia wa mpira wa miguu.
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei
Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
Mkuu hakuna Uzi wa live update?maana halisi ya wenye akili ni wawili tu
Mkuu hakuna Uzi wa live update?
FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club
Hilo pass la chama Kama lile assist la KDB Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile appwww.jamiiforums.com