je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Simba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi. Tulishazoea Simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakini leo hii Coastal anamiliki mpira anafanya mashambulizi ya hatari kuliko simba.
Hii ni aibu huu mwaka.kama simba itashinda wanatakiwa kujitathmini kiwango chao mana ni kidogo sana. Timu nyingi zitapata draw kwa Simba kama sio ushindi kabisa.ni hayo tu i stand to be corrected.
Hii ni aibu huu mwaka.kama simba itashinda wanatakiwa kujitathmini kiwango chao mana ni kidogo sana. Timu nyingi zitapata draw kwa Simba kama sio ushindi kabisa.ni hayo tu i stand to be corrected.