Hujaona mpira waliocheza? Mbona soka limepigwa
Kama mpira kweli wamecheza tena wa kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona mpira waliocheza? Mbona soka limepigwa
Tusamehe, tumechanganyikiwaKulikuwa na ulazima wa kuanzisha thread badala ya hii kuwa comment kwenye thread ya mechi ya Simba?
Sawa,lakini bila ugomvi binafsi wa Mo ,Chama asingeondoka!Tuwe na kiasi mpira ni burudani sio vita,mpira una kupanda na kushuka tumekuwa bora miaka minne mfululizo tukichukuwa ubingwa na kila kombe la ndani,elewa hatuwezi kuwa bora miaka yote tuvumilie muda mwingine ukiona panapovuja ndio unapoziba.
Hapo kwa Ac Milan Umenitonesha kidonda mkuu.Nyie mlitaka mbaki kuwa juu kila siku ?Waulizeni AC Milan au Barcelone.
Mechi 4.. Pointi 8..
Droo 2, Ushindi 2..
Cleansheet 4.. Magoli ya kufunga 2....
Si twakimu mbaya ila ukilinganisha na Uto tunaonekana hatujui....
Una akili sana we jamaa.Nyie mlitaka mbaki kuwa juu kila siku ?Waulizeni AC Milan au Barcelone.
Labda huko mbele gari lichanganye na Uto waanze kuharibu.... Japo sioni kwa Uto kuanza kupoteana kwa msimu huu....Ndio mtabeba mkuu ukumbuke mmepiga mechi 4 tu bado mechi 30 kwahiyo bado mapema
Sio kwa mashabiki wa nchi hii, muda mfupi ujao utaanza kusikia kuna mgomo, wachezaji hawajalipwa, kuna watu wanatufanyia fitna n.k.Tuwe na kiasi mpira ni burudani sio vita,mpira una kupanda na kushuka tumekuwa bora miaka minne mfululizo tukichukuwa ubingwa na kila kombe la ndani,elewa hatuwezi kuwa bora miaka yote tuvumilie muda mwingine ukiona panapovuja ndio unapoziba.
Hivi wamechachawa kuondoka wachezaji wawili tu, hata sielewi shida nini, tumelogwa? au?
Aisee it is alarming, very alarming.Hilo pia linawezekana kwa sana tu uto wanafanya kila kitu kalazimisha ubingwa
unajua team imebadilika ghafla inategemea long passes na crosses..maskini ya Mungu wachezaji pia wako under pressure sanaNdio mjue hatukuwa na mwalimu, pre season ya kutosha alafu bado tunacheza kutegemea vipaji! Hata kupanga timu ni tatizo! Simba watafute mwalimu wa viwango ambaye anaweza kusoma wachezaji haraka na kujua namna ya kuwatumia.
Simba ina timu bora kuliko zote lakini makocha hawajui wafanye nini na zile talent.