dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,085
- 742
Sawa pira limepigwa na nafasi nyingi zimepatikana ila kwa nini zote zimepotea hapo ndio pakujiuliza
Hujaona mpira waliocheza? Mbona soka limepigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona mpira waliocheza? Mbona soka limepigwa
Simba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi.tulishazoea simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakin leo hii coastal anamiliki mpira anafanya mashambulizi ya hatar kuliko simba.hii ni aibu huu mwaka.kama simba itashinda wanatakiwa kujitathmini kiwango chao mana ni kidogo sana.timu nyingi zitapata draw kwa simba kama sio ushindi kabisa.ni hayo tu i stand to be corrected.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
so what?CHIZI VITABU
JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2021
Nimesikia wanataka kocha kutoka afrika yaani wanaongelea upuuzi ngoja waone hasira za mashabiki wa Simba pale timu itakapofanya vibaya.Tena kwenye CAF Confederation Cup tunaeza pata aibu ya kutolewa kinomanoma
Tunahitaji bench la ufundi lenye weledi kuanzia kwenye mbinu za uwanjani mpaka excellence kwenye clean and top coaching certificates as per CAF and TFF rules and regulations
Nashangaa kibu anasemwa eti yuko moto. Kibu ni mchezaji machachari sio hatari.Utulivu wa mchezaji ndio ubora wenyewe. Mchezaji unapata nafasi unabutua tu. Nafasi za kibu kwa mchezaji mtulivu kuna goli na assist.
Achana nae Matola ni takatakamsenge matola umekaaa weeee kusubikria saa ngapi nitapost ili uvamie uzi angalia ujinga uliopost sasa? yaani uzi unaona wa kijinga halafu bado unahangaika nao, sasa sikia bwabwa matola Jamii forums ni users generated contents, kama una hisa kwenye huo uzi unaolazimisha nikachangie nenda kawaombe mabasha zako wanaofukunyua mtaro wako wachangie huko
Kuna majitu yanashangaza sana, ila nafikiri kwa kweli issue ya namba 10 sijui ifanywe nini? kibu inabidi atokee pembeni ila dah kuna time niliona Nyoni anamuelekeza kocha hivi hali imefikia hapo?Achana nae Matola ni takataka
Mmekuwa bora mwaka 1 tu hii mi 3 ilikuwa kwa hisani ya viporo tu wala si kwa uboraTuwe na kiasi mpira ni burudani sio vita,mpira una kupanda na kushuka tumekuwa bora miaka minne mfululizo tukichukuwa ubingwa na kila kombe la ndani,elewa hatuwezi kuwa bora miaka yote tuvumilie muda mwingine ukiona panapovuja ndio unapoziba.
Huyu mdada mmegongwa cha pili kigumu. Bora mngechagua mnaraMoo pumbav kabisa,anaanzisha ugomvi na wachezaji Kisha anawauza kwa hasira!
Na hicho kidemu chake ki CEO,kilikuwa Morocco kula bata eti ndio kimetuletea wachezaji wa hivi!!!!!!Shwain,inaniuma kweli
Kuondoka chama isiwe sababu ya kucheza vibaya maana huyo chama asingecheza milele pale simbaHii Simba niliitarajia baada ya chama kuondoka, so siumii.
Leo hitimana nmeona anashauriwa na wachezaji wa simba walio benchTimu ili ishinde inahitaji mbinu za kuweza kufunga magoli kwa timu yetu sasa haina msimamizi wa kuweza kusimmia nn afanye kulingana na mpinzani hilo ndio kwa sas tunakosa kwa hitimana amebeba mzigo ndio maana benchi lote kila mtu ana maamuzi
Pale hamna kocha wazeeeSimba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi.tulishazoea simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakin leo hii coastal anamiliki mpira anafanya mashambulizi ya hatar kuliko simba.hii ni aibu huu mwaka.kama simba itashinda wanatakiwa kujitathmini kiwango chao mana ni kidogo sana.timu nyingi zitapata draw kwa simba kama sio ushindi kabisa.ni hayo tu i stand to be corrected.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app