Tunahitaji namba tisa, mshambuliaji mzoefu na hatari... Achana na hawa akina boko na mgaluKwa hiyo hata mchango wa mshambuliaji hatari kwa sasa pale msimbazi huutambui! Yaani Profesa Sakho! Bado kuna wakili msomi BM3, mshambuliaji katili Kagere, kiungo hatari aliyeko Afcon Banda, nk!
Rekebisha kichwa cha habari basi.Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Muhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa kimataifa pale mbele anayeendana na hadhi ya club.
Watasajili lini mshambukiaji hawa jamaa[emoji848][emoji848]
kama ndiyo hivyo basi kazi ipoNadhani pale ndani ya simba, kuna kuoneana haya, yaani hawawezi kumwambia Mgalu mchango wako unatosha sasa ondoka, au wamwambie Boko, inatosha sasa kaa Pembeni. Na hii itaigharimu timu hii msimu huu
kagere bocco,mugalu ,muhilu,kibu, bado untk mshambuliaji mwngine?Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Muhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa kimataifa pale mbele anayeendana na hadhi ya club.
Watasajili lini mshambukiaji hawa jamaa[emoji848][emoji848]
mkuu tatizo ni physics pale sema tu simba hawajajua badoTatizo bado ni Chemistry πππ