Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

Unafahamu kilicho mrudisha kwao kipindi kile mpka viongozi wa Simba wakamfuata? ufalme una maana gani bila masilahi? anaipenda Simba sababu analipwa vizuri acheni kumpa hela uone moto wake
 
Unafahamu kilicho mrudisha kwao kipindi kile mpka viongozi wa Simba wakamfuata? ufalme una maana gani bila masilahi? anaipenda Simba sababu analipwa vizuri acheni kumpa hela uone moto wake
Kipindi kile ndio kipindi gani?

Ufalme ni namna anavyo kuwa treated kwa kupewa heshima kulingana na kile anacho offer uwanjani.

Analipwa vizuri hilo hatukatai, ila ukumbuke hata Hersi alivyomuhitaji angeweza kumlipa vizuri tena pengine zaidi maana alishaweka donge nono kumfanya akubali kujiunga na Yanga

Halafu mbona hugusii chochote kwenye yale maneno ya Hassani Bumbuli?

Hassani Bumbuli ame experience hiki kitu akiwa kiongozi mkubwa ndani ha Yanga na aliwahi kuwaambia ila kumbukumbu zenu ndio changamoto.
 
Acha kujidanganya, wachezaji hawana mapenzi ma timu, wanatafuta pesa
 
Mambo ya wasemaji unaweza yatumia kama reference? are you serious? Ahmed Ali alisema mnakwenda kuisimanisha dunia akatambulishwa Kyombo unataka nitumie kauli za watu wa aina hio?
 
Mambo ya wasemaji unaweza yatumia kama reference? are you serious? Ahmed Ali alisema mnakwenda kuisimanisha dunia akatambulishwa Kyombo unataka nitumie kauli za watu wa aina hio?
Kuwa msemaji haimaanishi kuwa kila utachokiongea ni mzaha

Kama unafikiria kauli ya Hassani Bumbuli kuhusu Ibrahimu Ajibu ni ya uzushi unakosea. Kwasababu kwa nafasi aliyonayo Bumbuli ukizingatia na uzito wa maneno huoni kwamba Ajibu angeweza kumshtaki?

Mfano Mwakalebela aliwahi kufanya uzushi kwenye ishu ya Chama kama utani lakini hilo jambo lilikuja kumgeukia vibaya mpaka akaja kuomba radhi

Halikumjia vibaya kwasababu eti Chama amem report kwenye mamlaka za kimichezo, hapa ni wadau tu wamichezo wanaofatilia michezo kwa kuzingatia sheria ndio waliomwambia Mwakalebela umetoka nje ya mstari omba radhi kabla ya kamati ya maadili haijakutia hatiani.

Lakini ukiachana na Bumbuli kumbuka hata Zahera amewahi kusema kitu kama hicho hicho na video iko hapo juu nimekuwekea

Sasa ina maana na Zahera naye ni muongo?

Sasa niambie ulitegemea hii taarifa tuipate kupitia nani?
 
Naomba tufunge huu mjadala ukinipa sababu za Ajabu kwenda Yanga na Ngasa, Lunyamila kwenda Simba
 
Naomba tufunge huu mjadala ukinipa sababu za Ajabu kwenda Yanga na Ngasa, Lunyamila kwenda Simba
Nilisema mchezaji anaweza kuondoka kwenye Club yake anayoipenda kama ikatokea Club hiyo haina mpango wa kuenelea kuwa naye. Chini hapo nitakuwekea video uone jinsi gani Manzoki alikuwa tayari kuja Simba ila Management ya Vipers ndio ili fucked up mchongo

Halafu pia nishakuambia kuna fakers na pretenders

Kazi inabakiwa kuwa kwako sasa kujua yupi ni real yupi miyeyusho

Msikilize Juma Ayo hapa halafu niambie katika hao nani anaweza fikia viwango hivi

 
Time will tell
 
Kuna kijamaa hapo juu kinekaza shingo. Hakuna mchezaji mwenye mapenzi na timu. Awe wa ndani au wa nje. Na wao wakiuizwa hua wanakubali live.
 
Chama kwenda Morroco haikuwa willing yake ni Simba wenyewe ndio walio muuza

Na ndio maana alipokuwa kule hakuwa na furaha na ndio sababu kina Hersi kutumia nafasi hiyo kumshawishi aje Yanga
Kwa heshima na taadhima. Mimi naamua nikuache kama ulivyo na kile alichojaza akilini mwako.

Heshima kwa Rage[emoji3581]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaosema Ngada mnawavutisha au ndo bendera fata upepo na kukosa hoja? Mtu mwenye akili akija na hoja ya ngada namuona kama hana akili..ni kama mimi nianze kusema kwenye kila comment 😀 😀 mmejinyea kisa tu mliambiwa mmejinyea chupi zimejaa mavi wakati ni maneno tuu yalitamkwa..
 
Ndugu zako hao wanapenda matusi, ushabiki wa kijinga
 
Kwa heshima na taadhima. Mimi naamua nikuache kama ulivyo na kile alichojaza akilini mwako.

Heshima kwa Rage[emoji3581]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuniacha nataka nijue kama zile video mbili zinazozungumzia swala Ajibu kuacha pesa Yanga kwenda Simba kwa mapenzi kama umeziona

Kuna moja amesema Zahera ambaye kwa wakati huo ndio alikuwa kocha mkuu wa Yanga

Kuna nyingine amesema Hassani Bumbuli ambaye alikuwa ni Afisa Habari wa Yanga kipindi hicho

Niliku tag hapo ila sina hakika kama umeziona maana tunajua changamoto ya hii forum husuani kwenye app huwenda hukupata notification

Sio lazima nipate mrejesho kama umekubaliana nayo au la ila walau nijue tu kama umeiangalia basi
 
Watu sijui ndio kusema mabando yamekuwa ya mashaka au wanajitia upofu kujifanya hizi video hawazioni???

 
Kama anaipenda Simba kwanini hakusajili na akaenda kusajili sehemu nyingine,,mkiitwa mbumbumbu muwe waelewa watu wanaangalia hela we unasema mapenzi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…