Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Inasemekana yafuatayo yanaweza kutokea japo hayana uhakika wa 50%, 75% au 100% kabisa kuwa;

~ Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki kutua Yanga SC na tayari Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anamalizana naye.

~ Beki Henock Inonga kwenda Amazulu FC ya Afrika Kusini au kutua Yanga SC.

~ Clatous Chama kutua Yanga SC kwa usajili wa kukufuru ambao hajawahi kutokea nchini.
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea owa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya china, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Bora shule zifunguliwe maana mna utoto sana kichwani.

Yaani mtu aache hela kisa anapenda timu fulani?
 
Bora shule zifunguliwe maana mna utoto sana kichwani.
Yaan mtu aache hela kisa anapenda timu fulani?
Ronaldo alikataa ofa ya kwenda kujiunga na Club ya uarabuni huko ambayo ilikuwa ni billions of money

Lakini alikuwa tayari aende kucheza Madrid hata kwa mkopo

Frank Libery alipewa ofa ya kujiunga na Chelsea kwa mkataba wa zaidi ya euro milion 64 lakini alikataa

Manzoki ye nani?

Hata Chama tu huyo naye si mlimtaka au umesahau? Chama aliwakataa sio kwasababu hamkutoa pesa anayoitaka, aliwakataa kwasababu mapenzi yake kwa Simba yana worth zaidi ya hiyo pesa ya vigodoro
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea owa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya china, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Hii kusema hafurahii maisha ya China una ushahidi nalo? Amesema kuwa hafurahii? Au ni wewe tu hisia zako?
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea owa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya china, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Angeipenda Simba angeenda China?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa una vituko wewe
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea owa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya china, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Wewe umekaririshwa eti, Nani kakwambia mbele ya pesa unatanguliza mapenzi? Uyo Manzoki unaemsema anaipenda Simba tu alizaliwa nayo? Mnaokoteza habari za udaku uko mitaani na propaganda za mitandaoni mnaleta hapa jukwaani, Sasa akisajiliwa yanga utasemaje labda kwa mfano, Eti yanga walimfata akakataa yani mashabiki wa umbumbuni mnalishwa matango pori na nyie mnaingia mazima matokeo yake akisajiliwa yanga ndio wengine mnaanza maandamano kumtaka babra ajiuzulu akiwauliza ni nani aliwaambia wanamsajili manzoki mnaleta reference za mitandaoni🤣🤣
 
Wewe umekaririshwa eti, Nani kakwambia mbele ya pesa unatanguliza mapenzi? Uyo manzoki unaemsema anaipenda simba tu alizaliwa nayo? Mnaokoteza habari za udaku uko mitaani na propaganda za mitandaoni mnaleta hapa jukwaani, Sasa akisajiliwa yanga utasemaje labda kwa mfano, Eti yanga walimfata akakataa yani mashabiki wa umbumbuni mnalishwa matango pori na nyie mnaingia mazima matokeo yake akisajiliwa yanga ndio wengine mnaanza maandamano kumtaka babra ajiuzulu akiwauliza ni nani aliwaambia wanamsajili manzoki mnaleta reference za mitandaoni🤣🤣
Ngada sio nzuri mkuu
 
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui

Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.

Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea owa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.

Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.

Na sasa watu tunafatilia ligi ya china, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Wewe una matatizo ya akili siyo bure, wachezaji wazawa ambao ni wapenzi wa kuzaliwa wa Simba na Yanga wameshacheza timu tofauti na anayoipenda.

Kwa uchache tu Zamoyoni Mogela alikwenda Yanga, na Thomas Kipese alicheza Yanga, hawa wote ni Simba damu.

Ukiandika ushuzi huu siku nyingine kwa watu wenye akili utachekwa. mazoki na Simba au Yanga wapi na wapi, hao wanatafuta pesa tu.

Mtu kama Chama akienda Yanga atacheza namba ya nani? Kama Aziz Ki anaanzia benchi mtu kama Chama si hata jezi atakuwa havai?
 
Wewe una matatizo ya akili siyo bure, wachezaji wazawa ambao ni wapenzi wa kuzaliwa wa Simba na Yanga wameshacheza timu tofauti na anayoipenda.

Kwa uchache tu Zamoyoni Mogela alikwenda Yanga, na Thomas Kipese alicheza Yanga, hawa wote ni Simba damu.

Ukiandika ushuzi huu siku nyingine kwa watu wenye akili utachekwa. mazoki na Simba au Yanga wapi na wapi, hao wanatafuta pesa tu.

Mtu kama Chama akienda Yanga atacheza namba ya nani?.kama Aziz Ki anaanzia benchi mtu kama Chama si hata jezi atakuwa havai?

Akina Zamoyoni huyo alikuwa hajazaliwa. Muulize Mrisho Ngasa hakucheza simba? Muulize anamjua athuman Chuji je hakucheza simba? Muulize anamjua kelvin yondani na je hakucheza simba? Muulize anamjua kaseja? Je hakucheza Yanga? Muulize anamjua boban na je hakucheza yanga?
 
Sio uzembe bali timu haina pesa, tajiri wa kurithi aliamishia nguvu kwenye Ndondi baada ya mkewe kumkataza kuwa na ukaribu na Babra.
 
Back
Top Bottom