“Simba SC look at your player become a dancer.” ni fumbo zito walilofumbiwa Simba SC dhidi ya mchezaji wao Pape Ousuman Sakho

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hayo ni maneno aliyoyapost sadio mane, aliambatanisha na clip fupi iliyokuwa ikimuonyesha mchezaji wa simba Pape osumane sakho akikata mauno mbele ya wanaume wenzie.

NALIA NGWENA THE GREAT THINKER, nimeyatafakari kwa undani kabisa maneno ya fundi wa kandada mane.

Kiukweli mane aliwatag simba nakuwaambia " “Simba SC look at your player become a dancer.”

Kwa upande wa mbumbumbu fc wameona Kama ni heshima kubwa sana na kawaheshimisha kumbe mane katumia akili kubwa sana nakuwaambia kuwa "humu hakuna mchezaji Bali Kuna mkata viuno"

Hakika mane katumia fumbo kubwa sana kuwafumba mbumbumbu fc,
Kutokana na uelewa mdogo kutoka kwa mashabiki wa makolo wanaona kuwa sadio mane kawaheshimisha.

Senegal Ina professional players wengi sana na kocha kamuita sakho kwenda kugain experience na hicho ndicho sadio mane alitegemea hicho bwana mdogo kujifunza kwa mapro,

Lakini kilichotokea kwa bwana mdogo ni kukata mauno mithir ya yondo sister

NALIA NGWENA, nimefumbua fumbo alilofumba makolo fc kwa kitendo alichokionyesha sakho mbele ya mapro.
 
Nmesoma Kichwa Cha habari tu.


Nahisi nawee unajiita mchambuzi !!!!




Maisha haupo serious Ivo, Wala usiyachukulie sawa na unachowaza wewe.

Hao ni wachezaji, Nchi Moja, ni Washikaji, Wana, haijalishi Mmoja anacheza wapi, mwingine wapi.


Kuna mambo ya masihara ,utani na kuburudisha.


Usijifanye Hujui masuala ya wachezaji, Tena wawapo kwenye vyumba
 
Chuki ni uchafu wa moyo. Nini kinachokusumbua? Maana umeandika hili andiko lako likiwa na mikanganyiko kibao yaani hata haueleweki kabisa.. Halafu unajiita The GT? Toa Usimba na Uyanga andika facts .

Cha kushangaza huyo Pape Ousmane Sakho hana hati miliki na Simba yawezekana Next season akawa yupo hata huko Ubelgiji huko na akikutana na Sadio Mane kwenye kikosi cha timu ya Taifa akawa ana dance. Je utaendelea kuandika maneno ya chuki kuhusu Sakho kama uliyoyaandika hapa? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
🤣🤣🤣Tatizo mleta uzi ni shabiki wa Yanga na Sakho ni Mchezaji wa Simba. Sasa msimu ujao Sakho akiondoka Simba ataendelea kumfuatilia na kuandika uzi kama huu?
 
Soma andiko vizuri acha kukurupuka[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
NALIA NGWENA punguza chuki Mkuu, halafu ulikuwa unataka Sadio Mane aweke caption gani kwenye hiyo video ya Sakho ana dance???
 
Mimi nimefumbua fumbo kwani tatizo langu Nini hapo mzee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wewe ni Utopolo FC na Sakho ni Simba, Mbona hujaleta Uzi kuhusu Mayele jana kaingia dk ya 87 mpaka mpira unaisha hajagusa mpira hata mara moja? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mkuu tuongee fact Mimi nimefumbua fumbo alilowafumbia mane Sasa chuki zipo wapi Sasa.
Halafu suala la mayele unadanganya mbona kagusa Sasa sijui mpenda sifa inonga Kama aliingia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simba na Sakho wametukanwa openly ila kwakuwa Makolo ni mbumbumbu wao wanarukaruka kwa furaha kama chizi alieona dampo jipya!

Sakho ni footballer sio dancer na sote tunajua maisha ya wanenguaji na heshma waliyonayo kwenye jamii hapa Africa.

Siku ingine Sakho aoneshe ufundi wa kudrible tuone kama Sadio Mane atampost na kumsifia!
 
Na tafsiri zako za kibwege.Mama J anakusalimia.
 
Alaaa kumbe Sadio Mane kaitukana Simba??? Mimi mtazamo wangu kaitangaza na anaijua kumbe kuna timu inaitwa Simba
 
Hajawahi kuwa meanamichezo na hajui mambo ya kambini
 
Alaaa kumbe Sadio Mane kaitukana Simba??? Mimi mtazamo wangu kaitangaza na anaijua kumbe kuna timu inaitwa Simba
Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,

nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine

wapi nimesema Sakho katukana Simba?

Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…