“Simba SC look at your player become a dancer.” ni fumbo zito walilofumbiwa Simba SC dhidi ya mchezaji wao Pape Ousuman Sakho

Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,

nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine

wapi nimesema Sakho katukana Simba?

Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Mbona unatumia hasira sana nakukaza mishipa ya shingo kaka

Ukweli ndiyo huo sadio mane kawafumba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi matumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo, nyie mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia aliewaita mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
Hizo ni tafsiri zako na kama unaijua Historia ya Sadio Mane hana hizo tabia kama za kina Baloteli, Cristiano Ronaldo mnataka kumtengenezea sifa mbaya Kijana wa watu ni Muislamu safi, hana matusi wala maneno machafu hizo ni hisia zenu Utopolo mliojaa nongwa na chuki. Kwanza Sadio Mane anaanzaje kumtukana mwenzake ambaye ni Taifa moja? Acheni kuwa na Usimba na Yanga kwenye ishu ya Mane na Sakho wale ni taifa moja na msimu uliopita Sakho anapokea tuzo ya goli bora la michuano ya CAF alikaa meza moja na Mane alipokuwa anachukua Mchezaji wa Africa. Acheni chuki na propaganda zzenu.
 
Simba na Sakho wametukanwa openly ila kwakuwa Makolo ni mbumbumbu wao wanarukaruka kwa furaha kama chizi alieona dampo jipya!

Sakho ni footballer sio dancer na sote tunajua maisha ya wanenguaji na heshma waliyonayo kwenye jamii hapa Africa.

Siku ingine Sakho aoneshe ufundi wa kudrible tuone kama Sadio Mane atampost na kumsifia!
Kweli kabisa mkuu upo sahihi lakini mbumbu hawalijui Hilo watakuja kutukana hapa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupa dokezo tu nashangaa unataka kuanzisha mada nyingine, Punguza umbumbu na kuharibu sifa ya sadio Mane. Mimi ni Shabiki wa Livepool pia Historia yake naijua vizuri sana
Historia gani Tena wewe mjomba sadio ni pro kaamua kufumba Sasa nashangaa hutaki kuukubali ukweli.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,

nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine

wapi nimesema Sakho katukana Simba?

Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Mkuu umeua sana [emoji16]

Hakika umepiga kwenye mshono.[emoji3]

Sakho tena??? mbona unajichanganya sana?? Vipi Swaumu au Kwaresma imekukamata???
 
We Ni mjinga kama wenzio wanaokusapoti
Kila kitu unachukulia serious??
 
Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,

nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine

wapi nimesema Sakho katukana Simba?

Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Dah... Hersi na Luc Emayel wapewe PhD za heshima.
 
Back
Top Bottom