NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Mbona unatumia hasira sana nakukaza mishipa ya shingo kakaKama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,
nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
wapi nimesema Sakho katukana Simba?
Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Ukweli ndiyo huo sadio mane kawafumba
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app