NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #81
Yaan wee ni mbishi tu.Unaangalia alipoachwa tu hauangalii alipoitwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wee ni mbishi tu.Unaangalia alipoachwa tu hauangalii alipoitwa
Leta hoja wacha kulialia
Kumuonea wivu mwanaume mwenzio ni ushoga tuHayo ni maneno aliyoyapost sadio mane, aliambatanisha na clip fupi iliyokuwa ikimuonyesha mchezaji wa simba Pape osumane sakho akikata mauno mbele ya wanaume wenzie.
NALIA NGWENA THE GREAT THINKER, nimeyatafakari kwa undani kabisa maneno ya fundi wa kandada mane.
Kiukweli mane aliwatag simba nakuwaambia " “Simba SC look at your player become a dancer.”
Kwa upande wa mbumbumbu fc wameona Kama ni heshima kubwa sana na kawaheshimisha kumbe mane katumia akili kubwa sana nakuwaambia kuwa "humu hakuna mchezaji Bali Kuna mkata viuno"
Hakika mane katumia fumbo kubwa sana kuwafumba mbumbumbu fc,
Kutokana na uelewa mdogo kutoka kwa mashabiki wa makolo wanaona kuwa sadio mane kawaheshimisha.
Senegal Ina professional players wengi sana na kocha kamuita sakho kwenda kugain experience na hicho ndicho sadio mane alitegemea hicho bwana mdogo kujifunza kwa mapro,
Lakini kilichotokea kwa bwana mdogo ni kukata mauno mithir ya yondo sister
NALIA NGWENA, nimefumbua fumbo alilofumba makolo fc kwa kitendo alichokionyesha sakho mbele ya mapro.
Ww Debe Tupu ndo upumzike huna content yeyote unajaza saver bure angalia na utopolo
Sawa kiuno fc.Ww Debe Tupu ndo upumzike huna content yeyote unajaza saver bure angalia na utopolo
Yaan weww kolo kweli, nenda kaangalie kilichopostiwa kwenye insta yakeKiingereza gani hicho sasa, kwa hiyo hata huyo Mane nae ni sawa na wabongo hajui Kiingereza. Kabla ya post jikague. Mane hawezi kuandika Kiingereza Cha ugoko km hicho. Hicho ni chako mwenyewe.
Kwanini u-copy na paste vitu vya hovyo.Yaan weww kolo kweli, nenda kaangalie kilichopostiwa kwenye insta yake