Hayo ni maneno aliyoyapost sadio mane, aliambatanisha na clip fupi iliyokuwa ikimuonyesha mchezaji wa simba Pape osumane sakho akikata mauno mbele ya wanaume wenzie.
NALIA NGWENA THE GREAT THINKER, nimeyatafakari kwa undani kabisa maneno ya fundi wa kandada mane.
Kiukweli mane aliwatag simba nakuwaambia " “Simba SC look at your player become a dancer.”
Kwa upande wa mbumbumbu fc wameona Kama ni heshima kubwa sana na kawaheshimisha kumbe mane katumia akili kubwa sana nakuwaambia kuwa "humu hakuna mchezaji Bali Kuna mkata viuno"
Hakika mane katumia fumbo kubwa sana kuwafumba mbumbumbu fc,
Kutokana na uelewa mdogo kutoka kwa mashabiki wa makolo wanaona kuwa sadio mane kawaheshimisha.
Senegal Ina professional players wengi sana na kocha kamuita sakho kwenda kugain experience na hicho ndicho sadio mane alitegemea hicho bwana mdogo kujifunza kwa mapro,
Lakini kilichotokea kwa bwana mdogo ni kukata mauno mithir ya yondo sister
NALIA NGWENA, nimefumbua fumbo alilofumba makolo fc kwa kitendo alichokionyesha sakho mbele ya mapro.