Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyepaniki boss tafakari kabla ya kuhukumu.Umepanick tu,usjali dunia haitaki hivyo.Relax
Pole sana naona huna hoja Bali nakuona unacheka cheka tu.NALIA NGWENA next time usiwe unaanzisha uzi kwa mihemuko na Ushabiki ushabiki wa kiboya, au kama huwa unafunga ramadhan au kwaresma anzisha uzi baada ya kufungulia inawezekana mfungo ni mkali leo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Pole sana naona huna hoja Bali nakuona unacheka cheka tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mane ni pro kaamua kutumia fumbo nakuwaambia hakuna mchezaji hapo Bali ni mkata mauno.
Mane hajawatukana simba ila kawapa taaarifa kwa fumbo dhidi ya mchezaji wenu mkata maunoNimekuona umefirisika sana kimawazo Mkuu lakini jifunze kuanzisha uzi, chuki na ushabiki uwe unauondoa yaani haiwezekani hata siku moja Samatta akabandika video ya kituko kuhusu Mchezaji mwenzake wa Kitanzania tuseme Job Dickson akaweka caption akawatag na Yanga. Mimi nikaja kusema Yanga Samatta kawatukana kisa kaweka caption amabayo sikuielewa ana maanisha nini... Kwa ishu ya Mane na Sakho nyinyi Utopolo ukiwemo wewe mmetafsiri vibaya kwa sababu ya Ushabiki wenu wa hovyo. Haiwezekani hata siku moja Wachezaji wakiwa timu ya Taifa mmoja akamkejeli mwenzake kwa mambo kama uliyoyaona kwa Sakho na Mane. Jifunze kutafsiri mambo kwa njia chanya
Wewe mane kawafumba pale katumia akili kubwa sanaTuangalie vitu kwa jicho pevu.naona mane kaipromote Simba kimtimdo
Mane ana washkaji wengi ambao wame view Ile video na wamejua kumbe Kuna timu inaitwa Simba.? Na sakho pia nadhani Kuna baadhi ya watu wameanza kumtafuta kujua sakho ni nani kutokana na Ile video
Ila vijana WA utopolo kwao ni mwiba wanaona kama ni mkata viuno
Mbona wachezaji WA congo ni wakata viuno wakubwa sana.
Yaani wew ndiyo hujui mpira kabisa kaa kimyaMayele kule ni galasha[emoji38][emoji38]
Bora enonga hakucheza
Kuliko kudhalilishwa vile[emoji196][emoji196]
View attachment 2565227
Mauno fc, nimeshafumbua fumbo alilowafumbia mane kaeni chini mtafakari.Ungekua mwanamke ungekua ushazalishwa na kukimbiwa unaonesha una gubu.
Wewe mane kawafumba pale katumia akili kubwa sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha bwana hii kitu mauno fc hawataki kuiskia kabisa.Naona watu wanapovuka tu! Picha ya hayo mauno kama Yondo sister, iko wapi? Maana kwa sisi vijana wa miaka ya 1990's, ukitutajia Yondo Sister, miili yetu inapigwa na shoti ya umeme.
Usimfananishe ronaldnho na uchafu kama huo umewauma kiaz wenu kuwekwa benchYaani wew ndiyo hujui mpira kabisa kaa kimya
Hata ronadinho alishawahi kuingizwa muda Kama huyo na hakua garasa acha ushabiki maandazi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ronaldinho na Messi waachwe kufananishwa na mchezaji yeyote hapa duniani aiseee, huyu mleta uzi kashindwa kukubali kwamba huu uzi wa leo amepuyanga na akubali tu kachemkaUsimfananishe ronaldnho na uchafu kama huo umewauma kiaz wenu kuwekwa bench
Ndo mjue Kia ajui kitu
Baleke aligusa au hajagusa na inonga aligusa au hajagusaUsimfananishe ronaldnho na uchafu kama huo umewauma kiaz wenu kuwekwa bench
Ndo mjue Kia ajui kitu