“Simba SC look at your player become a dancer.” ni fumbo zito walilofumbiwa Simba SC dhidi ya mchezaji wao Pape Ousuman Sakho

NALIA NGWENA next time usiwe unaanzisha uzi kwa mihemuko na Ushabiki ushabiki wa kiboya, au kama huwa unafunga ramadhan au kwaresma anzisha uzi baada ya kufungulia inawezekana mfungo ni mkali leo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
NALIA NGWENA next time usiwe unaanzisha uzi kwa mihemuko na Ushabiki ushabiki wa kiboya, au kama huwa unafunga ramadhan au kwaresma anzisha uzi baada ya kufungulia inawezekana mfungo ni mkali leo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Pole sana naona huna hoja Bali nakuona unacheka cheka tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Luc Eymael hakukosea kuwaita manyani . Hizi tabia zenu za kubwatuka hovyo kama mijibwa inawadharirisha.
JamiiForums-1861416707.jpg
JamiiForums-189255672.jpg
 
Pole sana naona huna hoja Bali nakuona unacheka cheka tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Nimekuona umefirisika sana kimawazo Mkuu lakini jifunze kuanzisha uzi, chuki na ushabiki uwe unauondoa yaani haiwezekani hata siku moja Samatta akabandika video ya kituko kuhusu Mchezaji mwenzake wa Kitanzania tuseme Job Dickson akaweka caption akawatag na Yanga. Mimi nikaja kusema Yanga Samatta kawatukana kisa kaweka caption amabayo sikuielewa ana maanisha nini... Kwa ishu ya Mane na Sakho nyinyi Utopolo ukiwemo wewe mmetafsiri vibaya kwa sababu ya Ushabiki wenu wa hovyo. Haiwezekani hata siku moja Wachezaji wakiwa timu ya Taifa mmoja akamkejeli mwenzake kwa mambo kama uliyoyaona kwa Sakho na Mane. Jifunze kutafsiri mambo kwa njia chanya
 
Tuangalie vitu kwa jicho pevu.naona mane kaipromote Simba kimtimdo

Mane ana washkaji wengi ambao wame view Ile video na wamejua kumbe Kuna timu inaitwa Simba.? Na sakho pia nadhani Kuna baadhi ya watu wameanza kumtafuta kujua sakho ni nani kutokana na Ile video

Ila vijana WA utopolo kwao ni mwiba wanaona kama ni mkata viuno

Mbona wachezaji WA congo ni wakata viuno wakubwa sana.
 
Naona watu wanapovuka tu! Picha ya hayo mauno kama Yondo sister, iko wapi? Maana kwa sisi vijana wa miaka ya 1990's, ukitutajia Yondo Sister, miili yetu inapigwa na shoti ya umeme.
 
Nimekuona umefirisika sana kimawazo Mkuu lakini jifunze kuanzisha uzi, chuki na ushabiki uwe unauondoa yaani haiwezekani hata siku moja Samatta akabandika video ya kituko kuhusu Mchezaji mwenzake wa Kitanzania tuseme Job Dickson akaweka caption akawatag na Yanga. Mimi nikaja kusema Yanga Samatta kawatukana kisa kaweka caption amabayo sikuielewa ana maanisha nini... Kwa ishu ya Mane na Sakho nyinyi Utopolo ukiwemo wewe mmetafsiri vibaya kwa sababu ya Ushabiki wenu wa hovyo. Haiwezekani hata siku moja Wachezaji wakiwa timu ya Taifa mmoja akamkejeli mwenzake kwa mambo kama uliyoyaona kwa Sakho na Mane. Jifunze kutafsiri mambo kwa njia chanya
Mane hajawatukana simba ila kawapa taaarifa kwa fumbo dhidi ya mchezaji wenu mkata mauno

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ungekua mwanamke ungekua ushazalishwa na kukimbiwa unaonesha una gubu.
 
Tuangalie vitu kwa jicho pevu.naona mane kaipromote Simba kimtimdo

Mane ana washkaji wengi ambao wame view Ile video na wamejua kumbe Kuna timu inaitwa Simba.? Na sakho pia nadhani Kuna baadhi ya watu wameanza kumtafuta kujua sakho ni nani kutokana na Ile video

Ila vijana WA utopolo kwao ni mwiba wanaona kama ni mkata viuno

Mbona wachezaji WA congo ni wakata viuno wakubwa sana.
Wewe mane kawafumba pale katumia akili kubwa sana

Kuhusu promo simba inajulikana toka huko nyuma na ahitegemei promo ya mkata mauno Kama wewe unavyofikiri kichwani mwako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usimfananishe ronaldnho na uchafu kama huo umewauma kiaz wenu kuwekwa bench
Ndo mjue Kia ajui kitu
Ronaldinho na Messi waachwe kufananishwa na mchezaji yeyote hapa duniani aiseee, huyu mleta uzi kashindwa kukubali kwamba huu uzi wa leo amepuyanga na akubali tu kachemka
 
Back
Top Bottom