“Simba SC look at your player become a dancer.” ni fumbo zito walilofumbiwa Simba SC dhidi ya mchezaji wao Pape Ousuman Sakho

Wewe mane kawafumba pale katumia akili kubwa sana

Kuhusu promo simba inajulikana toka huko nyuma na ahitegemei promo ya mkata mauno Kama wewe unavyofikiri kichwani mwako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
@NALIA NGWENA we jamaa unachofikiria ww ndio unataka kiwe hicho hicho ni sahihi.

Jaribu kukubali mitazamo ya watu wengine acha uduwanzi
 
Bora ya huyo aliyewekwa benchi lakini siyo baleke hata kwenye Kodi hayupo.
Na ndyo mchezaji mnayemtegemea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hujui mpira wewe, tunawategemea full backs Kapombe na Zimbwe na timu ya taifa hawapo, Suala la kuchagua wachezaji ni la Kocha sio Wapiga domo mitandaoni kama Wewe humu JF
 
@NALIA NGWENA we jamaa unachofikiria ww ndio unataka kiwe hicho hicho ni sahihi.

Jaribu kukubali mitazamo ya watu wengine acha uduwanzi
Nipe hoja yako niikubali ambayo siyo ya uduwanzi.

Nyie mauno fc mbona wabishi sana aise.
Sadio mane kaweka fumbo kiakili Sasa Mimi nimefumbua fumbo hapo kosa langu lipo wapi mpaka mje na MATUSI.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unajua nini kuhusu initiation kwa wachezaji wanaoingia team ya taifa kwa mara ya kwanza au wachezaji wapya kwenye team??? Punguza ushamba.
 
Simba wamemchukua Sakho akiwa kinda kabisa, wamemkuza hadi kuchaguliwa katika kikosi #1 Africa huku akiwa mchezaji pekee wa kutoka ligi za Africa. Embu tuishi kwenye uhalisia huo.
 
Wakati huo huo wachezaji wafuatao tegemeo wa Yanga na Simba hawakupewa namba katika timu zao:

Diarra
Aziz Ki
Musonda
Inonga
Sakho
Chama

Huku mfungaji tegemeo wa Yanga Fiston Mayele akiingizwa dakika za lala salama.

Badala ya kubezana na kukejeliana kwa mambo ya kijinga, tujiulize kwa nini hawa wachezaji wetu tegemeo, wakienda katika timu zao za taifa hawapewi kipaumbele? Labda kuna mambo ya kurekebisha katika branding ya ligi yetu.

Tuishi humo.
 
Sawa kwa hicho unachokizungumza lakini kumbuka timu za taifa zina ushindani wa namba.

Hao mnao waona Bora huku wakifika huko siyo bora, Mimi nadhani wakiitwa tu katika timu siyo mbaya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simba wamemchukua Sakho akiwa kinda kabisa, wamemkuza hadi kuchaguliwa katika kikosi #1 Africa huku akiwa mchezaji pekee wa kutoka ligi za Africa. Embu tuishi kwenye uhalisia huo.
Una uhakika kuwa simba wamemkuza sakho??

Unajua maana ya kumkuza mchezaji??

Tazama kwa yanga na Clement mzinze hiyo ndiyo maana ya kukuza mchezaji siyo kwa sakho na simba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika kuwa simba wamemkuza sakho??

Unajua maana ya kumkuza mchezaji??

Tazama kwa yanga na Clement mzinze hiyo ndiyo maana ya kukuza mchezaji siyo kwa sakho na simba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani Sakho alikuja Simba akiwa tayari timu ya taifa? Haihitaji akili kubwa kugundua kuwa Simba imekuza profile yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…