“Simba SC look at your player become a dancer.” ni fumbo zito walilofumbiwa Simba SC dhidi ya mchezaji wao Pape Ousuman Sakho

Kumuonea wivu mwanaume mwenzio ni ushoga tu
 
Kiingereza gani hicho sasa, kwa hiyo hata huyo Mane nae ni sawa na wabongo hajui Kiingereza. Kabla ya post jikague. Mane hawezi kuandika Kiingereza Cha ugoko km hicho. Hicho ni chako mwenyewe.
 
Simba imetangazwa kimataifa.
Ila mtoto wa kiume kukata viuno mbele ya wanaume wenzako sio dalili wala tabia nzuri.
Na Museveni na Kama yeye huenda wakakataza raia wa nchi zao kuja kuchezea hiyo timu.
 
Kiingereza gani hicho sasa, kwa hiyo hata huyo Mane nae ni sawa na wabongo hajui Kiingereza. Kabla ya post jikague. Mane hawezi kuandika Kiingereza Cha ugoko km hicho. Hicho ni chako mwenyewe.
Yaan weww kolo kweli, nenda kaangalie kilichopostiwa kwenye insta yake
 
Jamaa yenu sakho kaitwa Tena timu ya Taifa kwenda kutumbuiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…