Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mmh apa wamebugi stepSiku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.
Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi?
NB:
Maendeleo hayana chama.
Cc; Erythrocyte
View attachment 2190514
Siendi uwanjani, sitaki kuchangamana na maccmSiku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.
Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi?
NB:
Maendeleo hayana chama.
Cc; Erythrocyte
View attachment 2190514
Hapa hatuongelei chama tunaongelea nchiKinana Ni makamu Raisi wa Jmt,
Kulingana na sera ya Chama Kinachoonagoza serikali[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa club yangu pendwa imezingua lakini ngoja mchezo upite kwanzaSiku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.
Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi?
NB:
Maendeleo hayana chama.
Cc; Erythrocyte
View attachment 2190514
Ila kiukweli wamezingua lakini hili tuliweke pending kwanza sio muda wakeWakuu hili tutalijadili baadae, huu ni muda kuzungumzia mechi na amsha amsha