Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

Mmeshajitia mikosi tayari,na mimi kama mwanasimba kindakindaki nasema hivi Leo tufungwe 3-0.
 
Simba na Yanga kuzitenganisha na siasa uchwara ni ngumu sana.
Matimu yenyewe yalianzishwa kisiasa.
Na ndio maana hua sielewi hivi kweli kabisa wakina MO/GSM na pesa zao zote na connection zao wanashindwa kabisa kujua kabisa Kwamba hakuna hata siku 1 watakuja kuzimiliki hizo timu ziwe zao binafsi.?CCM haiwezi kuruhusu Jambo Hilo asilani.
 
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia Nape Nnauye alikuwa mgeni Rasmi kwenye mchezo wa Simba SC Vs USGN

Mbona hakuwepo mjadala huu? au yeye hana Chama? Sidhani kama haya mambo ya tija yoyote zaidi ya kupoteza muda tu.
Hyu ni wazir wa nchi sio wachama

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa Simba mkome kutuletea mambo yenu ya siasa kwenye timu yetu. Kama Mnataka kualika CCM anzisheni timu yenu binafsi. Wasengerema nyinyi
 
Mambo ya rohoni yana nguvu kuliko sayansi na jitihada binafsi.

Ya duniani hayawezi kwenda bila kuwiana ulimwengu wa roho.

Ni mtazamo tu
Ni mtazamo sahihi sana[emoji1545]
 
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia Nape Nnauye alikuwa mgeni Rasmi kwenye mchezo wa Simba SC Vs USGN

Mbona hakuwepo mjadala huu? au yeye hana Chama? Sidhani kama haya mambo ya tija yoyote zaidi ya kupoteza muda tu.
Mmesahau ule mjadala na makasiriko mliyoyaleta humu kwenye match ya Yanga vs KMC kuhusu Mama kuwa Mgeni rasmi?
 
Tusubiri saa 3 usiku wa leo
Ona wenzako hapa! Wewe ni makinikia [emoji23]
Screenshot_20220417-155650.jpg
 
Back
Top Bottom