Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila simba mmetukosea sana..
Muda mwingine acheni kujipendekeza kwa wanasiasa..hao binadam hawafai nuksi
Kwani kuna sehemu gani inayoonesha kuwa Mama amealikwa?Hivi hii mechi, Mama alikubali mwaliko au alichomoa? Isije ikawa ndio chanzo cha uzi huu
View attachment 2190556
Dah....kwa hili la maharamia wa Orlando nawaunga mkono 100%.....au ulitaka wampe mualiko IGP? 🤣🤣🤣🤣🤣Daaah..
ila simba mmetukosea sana..
Kwa mlichofanya lazima mpoteze mechi..
Muda mwingine acheni kujipendekeza kwa wanasiasa..hao binadam hawafai nuksi
Maono yako yatabarikiwaNimeona tutashinda 2
ShindwaaaUmesahau herufi w hapo katikati ya d na a ya mwisho
lakini alikuja JK akasababisha mechi ichelewe kuanzaKwani kuna sehemu gani inayoonesha kuwa Mama amealikwa?
Kwa kupenda sifa za kuonekana anaupiga mwingi angekuwa na nafasi angehusika hadi uwanjani. Mechi ilisogwezwa mbele kwasababu ya jambo hilo hilo la kilele cha mwaka mmoja wa mpiga mwingi.
Usichukie Mchezo au Timu kisa itikadi binafsi za kisiasa.Wabongo tunapenda sana kujipendekeza/kujikombakomba.!
Simba hatoboi leo, washatutia nuksi
Acha vurugu..SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINIView attachment 2190550
Si ndiyo hawa walituponda wiki chache zilizopita atulipo mualika JK kwenye ile mechi yetu na KMC! Na wenyewe leo wanarudia yale yale!Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.
Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi?
NB:
Maendeleo hayana chama.
Cc; Erythrocyte
View attachment 2190514
Usichofahamu hata hao mashabiki wa Simba miongoni mwao ni CCM..acha michezo ibaki michezo na Siasa ibaki Siasa.Siendi uwanjani, sitaki kuchangamana na maccm
Ni kweli ngoja game ipite then tujadili hili. Very disappointed na siasa kwenye michezo, ndio yale ya Makonda kuteuliwa kama mshauri wa bodi!Wakuu hili tutalijadili baadae, huu ni muda kuzungumzia mechi na amsha amsha
Labda yangaSimba na Yanga kuzitenganisha na siasa uchwara ni ngumu sana.
Matimu yenyewe yalianzishwa kisiasa.
Mambo ya rohoni yana nguvu kuliko sayansi na jitihada binafsi.Hapa club yangu pendwa imezingua lakini ngoja mchezo upite kwanza